Paroisse Saint Augustin buyenzi

Paroisse Saint Augustin buyenzi Paratge des photos et des videos des ativites faite à la paroisse saint augustin buyenzi

Ivi ndivyo walivyo sherekeya siku ya posho takatifu ( samedi saint) kwenye parokiya ya mtakatifu ogustino buyenzi. Kweny...
03/04/2024

Ivi ndivyo walivyo sherekeya siku ya posho takatifu ( samedi saint) kwenye parokiya ya mtakatifu ogustino buyenzi. Kwenye ibada ya misa tulikuwa na ma padri wa 3 na shemasi 1 na..

Semaine d'evangelisationVous etes tous le bienvenue
18/03/2024

Semaine d'evangelisation
Vous etes tous le bienvenue

09/10/2022

Siku ya Mungu ya tareh 9/10/2022 waliyo tumwa katika kazi ya kitume ya mwaka wa 2022-2023 kwenye paroikiye na mtakatifu ogustino ao ndio wako katika kundi la baraza kuu la parokiya( conseil pastorale paroissiale) tubifurije ubutumwa bwiza

Parokiya ya mtakatifu ogustino imeandaa Colonie de vacance kwa ajili ya watoto wenyekuwa cini ya miaka 18, Colonie itaan...
11/08/2022

Parokiya ya mtakatifu ogustino imeandaa Colonie de vacance kwa ajili ya watoto wenyekuwa cini ya miaka 18, Colonie itaanza tareh 22 mpaka tareh 27 mwezi huyu wa 8 mwaka wa 2022. Munakaribishwa

Paruwase ya ogistino Mweranda irateguye Colonie de vacance ya bana Bari munsi yimiaka 18, izotangura 22/8/2022 kuri paroisse saint augustin (kwa polo)

Siku ya sakramenta takatifuSaint sacrement
19/06/2022

Siku ya sakramenta takatifu

Saint sacrement

10/04/2022

Katika missa ya siku ya Mungu ya matawi tarehe 10/04/2022 sifa na utukufu zi mwendeye Mungu baba.. juu mbinguni 🌴🌴 kipindi ca shukurani

Siku hiyo hiyo ya Mungu tareh 30/1/2022 Baada ya missa ya kumteuwa padri mkuu walijieleka kwenye salle ya foreami ndipo ...
04/02/2022

Siku hiyo hiyo ya Mungu tareh 30/1/2022 Baada ya missa ya kumteuwa padri mkuu walijieleka kwenye salle ya foreami ndipo walipo changia karamu

Siku ya Mungu tareh 30/01/2022 ndipo palikuwa missa yaku muteuwa padri mukubwa mupya kwenye parokiya ya mtakatifu ogusti...
04/02/2022

Siku ya Mungu tareh 30/01/2022 ndipo palikuwa missa yaku muteuwa padri mukubwa mupya kwenye parokiya ya mtakatifu ogustino buyenzi. Missa hiyo ilisomwa na baba askofu Akishindikizwa na ma padri wa inchi tofauti, aliye kuwa padri mkuu ni aliye teuliwa kuwa padri mkuu ni

Isanamu zogushinga patiri mukuru mushasha wokuri paroisse yacu yitiriwe ogustino mweranda LIMO FREDERIC akaba yashinzwe na musenyeri GERVAIS BANSHIMIYUBUSA

30/01/2022

Padri mkuu akikabiziwa funguo na baba askofu alama ya kuonesha kuwa amepewa parokiya yote ayiongoze

30/01/2022

La messe de remise et reprise

30/01/2022

Padri mukubwa aliye teuliwa Leo limo akishukuru Mungu na kuomba maombi kwa wa krsitu ili aweze kumtumikiya Mungu katika upendo

30/01/2022

Curé mupya akisoma na msadiki,
Curé mushasha ariko asoma ndemeye

Address

Ruvumera
Bujumbura

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Paroisse Saint Augustin buyenzi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share