04/03/2023
_*ASSALAMU’ALYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKATUH*_
_Tuna kufaamisheni yakwamba wiki hii tarehe 11/3/2023 Tutatembelea *MPANDA MAKABURINI* kufanya usafi (Kuondoa majani, Kukata miti tuondoe pori makaburini n.k..)_
🚨 *Nauli ni Pesa 4000fbu kwa yoyote atakae shiriki nasi kwenye msafara huo wa MPANDA.*
🚨Ofisi yetu inapatikana buyenzi barabara ya 13/10 na ndipo makutanio ya msafara wetu.
🚨 *Mda wa Safari ni 7h00 insha Allah*
🚨lipa nauli yako mapema kupitia namba ya lumicash 62833359 nduwimana kennedy
*N.B: -TUNAOMBWA TUJE KWA WINGI HARAKATINI NA TUWAFAHAMISHE PIA NA NDUGU ZETU MAJUMBANI ILI NAO PIA WAWEZE KUJUMUIKA NASI KUJA KUJICHUMIA THAWABU .NA KILA MMOJA AJITAHIDI ALETE JEMBE , KIPAWA,UPANGA..! INSHA ALLAH*
✍🏽 Wabillah TaufiQ 🙏🏼