21/08/2019
Mkurugenzi wa Idara ya Uinjilisti kanisa Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Padre Thomasi Mwayela akiwasimika viongozi wa Achidikonari[Kanda] ya Ilala na Kinondoni pamoja na Viongozi wa wake wa wainjilisti tukio lililofanyika katika kanisa la Mtakatifu Nikolao lililopo Ilala tarehe 14/8/2019.