Japhet Kakozi

Japhet Kakozi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Japhet Kakozi, Washington D.C., DC.

Ilikuwa baraka tele kukutana na mheshimia Askofu wa Free Methodist Church Congo 🇨🇩 na Tanzanie 🇹🇿 pamoja na staff ya bar...
10/12/2021

Ilikuwa baraka tele kukutana na mheshimia Askofu wa Free Methodist Church Congo 🇨🇩 na Tanzanie 🇹🇿 pamoja na staff ya baraza la Kivu - Est chini ya uongozi wa Surintendant Rev Mako Mbùyu M’massa.

Yakobo 1:27
09/12/2021

Yakobo 1:27

08/02/2021
08/02/2021
Congolais un jour et pour toujours, fière d’être Congolais, code ya mboka +243 🇨🇩
06/30/2021

Congolais un jour et pour toujours, fière d’être Congolais, code ya mboka +243 🇨🇩

Ime mpendeza Mungu kuku chukuwa uncle wangu, Heri wafu wafao katika Bwana maana ao awafi bali wame lala, nani nina imani...
06/03/2021

Ime mpendeza Mungu kuku chukuwa uncle wangu, Heri wafu wafao katika Bwana maana ao awafi bali wame lala, nani nina imani ume lala uncle maana vita ume vipiga mwendo ume umaliza sana.😭😭😭😭 Mungu akutiye nguvu mamangu

05/22/2021

Kumbukumbu 2:2-3

2 BWANA akanena, akaniambia,

3 Mlivyouzunguka mlima huu vyatosha; geukeni upande wa kaskazini.
Valcan iyi ilivyo ishi katika mji wa Goma vyatosha baba, acha ujulikane kwamba wewe ni Mungu wetu.

Happy Sunday
05/16/2021

Happy Sunday

05/10/2021

Ivi ndivyo tulivyo sherekea sikuku ya wa mama kanisani kwetu, kwenu imekuwaje ? Barikiwa ndugu .mwanza

04/17/2020
Pray for Uvira  @ Uvira ville 24
04/17/2020

Pray for Uvira @ Uvira ville 24

Address

Washington D.C., DC
20006

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Japhet Kakozi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share