Iqra Global Media

Iqra Global Media Spreading the light of Islam to the world.

ALHAMDULILLAH ๐Ÿ”ฅTunapenda kuwashukuru ndugu zetu wote kwa sapoti kubwa mnayoendelea kuipa IQRA GLOBAL MEDIA ๐ŸคKwa uwezo wa...
05/15/2026

ALHAMDULILLAH ๐Ÿ”ฅ
Tunapenda kuwashukuru ndugu zetu wote kwa sapoti kubwa mnayoendelea kuipa IQRA GLOBAL MEDIA ๐Ÿค
Kwa uwezo wa Allah tumefikisha FOLLOWERS 141 kwenye page yetu pendwa, na hii ni mwanzo tu In Shaa Allah.
๐Ÿ“ข IQRA GLOBAL MEDIA imeandaa zawadi ndogo ya
๐ŸŽ VOCHA โ€ข BAMBA ๐ŸŽ
kwa ajili ya TOP FANS 20 watakao onyesha sapoti kubwa kupitia:
โœ… Comments nyingi
โœ… Likes nyingi
โœ… Kushare post zetu
โœ… Kufuatilia content zetu mara kwa mara
Majina ya washindi yatatangazwa hivi karibuni hapa hapa kwenye page yetu ๐Ÿค
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Congo
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ Burundi
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Tanzania
๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Kenya
Hongereni sana kwa sapoti yenu.
Pamoja tunaendelea kueneza elimu yenye manufaa duniani ๐ŸŒโœจ

05/15/2026
05/15/2026

Allah Amekupa Mengi Kuliko Unavyodhaniโ€ฆ
Katika hutba hii yenye kugusa moyo, Sheikh Djuma Nassor amezungumzia umuhimu wa kurizika na neema za Allah na namna ya kupata amani ya kweli maishani. โœจ
๐ŸŽฅ Tazama reel hii muhimu na usisahau kushare ili ujumbe uwafikie wengi zaidi.
๐Ÿ“ Masjid Kalimabenge โ€“ Uvira, DRC
๐ŸŽฅ IQRA GLOBAL MEDIA
๐Ÿ“ž +243 962 825 902

TANGAZO LA MWENYEZI MUNGU KWA WAUMINI WA KIISLAMU BY SHEIKH MKOREA KUTOKA MASJID MUNIIR, KIBONDWE, UVIRA
05/14/2026

TANGAZO LA MWENYEZI MUNGU KWA WAUMINI WA KIISLAMU BY SHEIKH MKOREA
KUTOKA MASJID MUNIIR, KIBONDWE, UVIRA

Katika hutba hii yenye mafunzo mazito, Sheikh Mkorea anatukumbusha umuhimu wa kumcha Mwenyezi Mungu (Subhanahu wa Taโ€™ala) na kushikamana na njia ya haki kati...

๐Ÿ•Œ HUTBA YENYE KUGUSA MOYO | Jinsi ya Kurizika na Neema za Allah BY SHEIKH DJUMA NASSORO, MASJID DAR- SALAAM            -...
05/14/2026

๐Ÿ•Œ HUTBA YENYE KUGUSA MOYO | Jinsi ya Kurizika na Neema za Allah BY SHEIKH DJUMA NASSORO, MASJID DAR- SALAAM
-Kivu

05/14/2026

๐Ÿฉ๐Ÿ’” Mmoja ameifanya biashara ya maandazi kwa miaka 18, mwingine kwa miaka 3โ€ฆ lakini wote wana lengo moja: kutafuta riziki halali na kuendesha familia zao. ๐Ÿคฒ
Kupitia mahojiano haya maalum, IQRA GLOBAL MEDIA imezungumza na akina mama hawa wawili ili kusikia simulizi zao, changamoto wanazokutana nazo na matumaini yao ya maisha ya baadaye. ๐ŸŒ
๐ŸŽฅ Tazama video kamili ujue uhalisia wa maisha ya wengi wanaopambana kila siku kwa ajili ya familia zao.
๐Ÿ“ Uvira, DRC
๐ŸŽ™๏ธ IQRA GLOBAL MEDIA
๐Ÿ“ฉ Kwa matangazo, mahojiano na coverage za matukio ya Kiislamu Congo nzima:
๐Ÿ“ž +243 962 825 902

Assalaamu'alaikum Warahmatullahi Wabarakatuhu Picha kutoka msikiti wa Kalimabenge, Uvira masjid dar- salaam
05/14/2026

Assalaamu'alaikum Warahmatullahi Wabarakatuhu

Picha kutoka msikiti wa Kalimabenge, Uvira masjid dar- salaam

05/14/2026

Ukumbusho kutoka kwa Sheikh wetu Nassoro Djuma, kuhusu maisha ya dunia

05/14/2026

SHEIKH NASSORO DJUMA

05/13/2026

๐Ÿ•Œโœจ Vijana wa Kiislamu wa CJMD wamekutana katika mkutano mkubwa maalum wa tathmini na maendeleo kwa ajili ya kujadili shughuli walizozifanya mwaka 2025 pamoja na mipango na malengo ya mwaka 2026.
Mkutano huo ulihusisha mijadala mbalimbali kuhusu maendeleo ya vijana, daโ€™wah, mshikamano wa jamii na mustakabali wa harakati za Kiislamu katika jamii. ๐Ÿค๐ŸŒ
๐ŸŽฅ IQRA GLOBAL MEDIA tulipata nafasi ya kushuhudia na kurekodi matukio yote muhimu ya mkutano huo mkubwa.
๐Ÿ“ Uvira, DRC
๐Ÿ“ฉ Kwa matangazo, mahojiano na coverage za matukio ya Kiislamu Congo nzima:
๐Ÿ“ž +243 962 825 902

Address

Indianapolis, IN

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Iqra Global Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Iqra Global Media:

Share