08/07/2026
"Sisi k**a jamii ya Mulembe, tumekuwa kwa mkutano wa wazee wa Luhya Council of Elders, na tumeamuwa kumuunga mkono kijana wetu Edwin Sifuna katika kuwania urais mwaka ujao kwa sababu anatosha, na wakenya wako na yeye"~FRED GUMO - Former Westland MP