Swahili and english bible

Swahili and english bible Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Swahili and english bible, Church of Jesus Christ of Latter-day Saints, Zanzibar.

15/10/2025

Habari

30/10/2024

3. Na mtu huyo alikuwa akikwea kutoka mjini kwake mwaka kwa mwaka, ili kuabudu, na kumtolea Bwana wa majeshi dhabihu katika Shilo. Na wale wana wawili wa Eli, Hofni na Finehasi, makuhani wa Bwana, walikuwako huko.
4. Hata siku ile ilipofika Elkana alipotoa dhabihu, kumpa mkewe Penina sehemu, akawapa na watoto wake wote, waume kwa wake, sehemu zao;
5. lakini Hana humpa sehemu mara mbili; maana alimpenda Hana, ingawa Bwana alikuwa amemfunga tumbo.
6. Ila mwenzake humchokoza sana, hata kumsikitisha, kwa sababu Bwana alikuwa amemfunga tumbo.
samuel 1:3-6

29/10/2024

1. Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3. Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.

Genesis 1:1-3

29/10/2024

Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi

Genesis 1.1.1

Address

Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili and english bible posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share