The ZION's Gate ministry

The ZION's Gate ministry Disability is not inabilability of person,Person with disability have ability to perform any task

21/08/2026

Hitaji la kiroho ndani ya mtu hujibiwa kupitia ujumbe kutoka kwa Mungu, unaopitishwa kupitia mtumishi wake k**a chombo cha Mungu. Ingawa Neno linalotolewa ni moja, linaweza kufanya kazi tofauti kwa kila mtu kulingana na hitaji, hali na msimu wa maisha yake. Mungu hutumia Neno lile lile kumgusa, kumfundisha, kumtia nguvu na kumjibu kila mtu kwa namna inayolingana na uhitaji wake.

“Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu...” — Waebrania 4:12

“Ndivyo litakavyokuwa neno langu litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure...” — Isaya 55:11

“Alituma neno lake, akawaponya, akawaokoa na uharibifu wao.” — Zaburi 107:20

01/03/2026

Happy new month

Warmly welcome
03/01/2026

Warmly welcome

Address

P. O. BOX 224
Vwawa
0763012745

Telephone

+255713089496

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The ZION's Gate ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to The ZION's Gate ministry:

Shortcuts

Share