World Revival Ministries, Tanzania Inc-WRMT

World Revival Ministries, Tanzania Inc-WRMT Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from World Revival Ministries, Tanzania Inc-WRMT, Religious organisation, Usa River.

World Revival Ministries, Tanzania is for Jesus Christ activities on the Earth (Matthew 28:18-20 and Mark 16:15-20)
Together we can make a difference in Jesus Christ on the Earth, Welcome!!!!.

25/05/2026
Injili ya Yesu Kristo ni uwezo wa Mungu uletao wokovu kwa Kila kiumbe Sasa ungana na timu ya World Revival Ministries, T...
17/05/2026

Injili ya Yesu Kristo ni uwezo wa Mungu uletao wokovu kwa Kila kiumbe
Sasa ungana na timu ya World Revival Ministries, Tanzania hapa duniani

15/05/2026
Mchungaji Kiongozi Steve Gray na Mke wake Kathy Gray wamekuwa Watumishi wa Kiroho hapa duniani kupitia Revive Church KC ...
08/05/2026

Mchungaji Kiongozi Steve Gray na Mke wake Kathy Gray wamekuwa Watumishi wa Kiroho hapa duniani kupitia Revive Church KC zamani ikiitwa The World Revival Church of Kansas City,
Kiongozi huyu wa Kiroho anaamimika ndani ya World Revival Ministries, Tanzania na tunaamini Imani katika Yesu Kristo anayofundisha na kuelekeza duniani.
Naendelea kutambua mchango wake kupitia mafundisho ya Neno la Mungu analofundisha watu wote duniani.
Katika kutambua mafundisho yake yanayotolewa madhabahuni kwa kuyasikiliza na kuyasambaza pia kupitia kurasa yangu binafsi na kwenye kurasa za World Revival Ministries, Tanzania.
Muda mrefu zaidi ya miaka 25 nimekuwa mfuasi wa Mchungaji Kiongozi Steve Gray na Kathy Gray kwa mahubiri na amenijenga Kiroho muda mrefu Sasa.
Yesu Kristo anahubiliwa ipasavyo katika kujenga watu Kiroho.
World Revival Ministries, Tanzania itaendelea kuelekeza Waamini wote kusimamia Neno la Mungu bila kulichanganya na mambo mengine yasiyo ya Yesu Kristo ambaye ni Bwana na Mwokozi wetu.

Pray for this coming Conference
11/06/2024

Pray for this coming Conference

Mtume na Mwijilisti Dr Bukuri Masago anaendelea kufikia dunia na Injili ya Yesu Kristo hapa duniani sawasawa Matayo 28:1...
05/05/2024

Mtume na Mwijilisti Dr Bukuri Masago anaendelea kufikia dunia na Injili ya Yesu Kristo hapa duniani sawasawa Matayo 28:18-20 Marko 16:15-20.
World Revival Ministries itaendelea kusimamia maandiko hayo hapa duniani ili kuifikia dunia kwa kushirikiana na Watumishi wengine kutoka Makanisa yote ya Kipentekoste duniani.
Injili ya Yesu Kristo ni mhimu KiLA mmoja wetu aiamini maana inaleta matokea ya milele sawasawa Yohana 1:12-14.
Ungana na Mtume na Mwijilisti Dr Bukuri Masago ambaye anatumika ipasavyo kupitia World Revival Ministries kuwafikia watu wengi na Injili ya Yesu Kristo hapa duniani.
Mtume na Mwijilisti Dr Bukuri Masago ataendelea kufanya Kazi hiyo ya Yesu Kristo hapa duniani.
Bila Yesu Kristo huwezi kuwa Hai milele na milele.

Address

Usa River

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when World Revival Ministries, Tanzania Inc-WRMT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share