Pastor Nuhu Kityaba

Pastor Nuhu Kityaba Glory Of Christ Tanzania Church

10/03/2026
Ziara ya kichungaji katika mji wa kaliua katika kuifanya kazi ya Baba .Asanteni kaliua Kwa mapokezi mema .Yesu anatukuzw...
21/02/2026

Ziara ya kichungaji katika mji wa kaliua katika kuifanya kazi ya Baba .

Asanteni kaliua Kwa mapokezi mema .Yesu anatukuzwa kila mji Maana Baba ametupaka mafuta Kuifanya falme za Dunia kuwa za Mwanakondoo.

30/08/2025

Isaya 6:1
Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia nalimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi, kilicho juu sana na kuinuliwa sana, na pindo za vazi lake zikalijaza hekalu.

22/08/2025

TUSILAUMIANE BAADAE

1. Kila uliyenikana na kunikimbia wakati wa hatari niliposimamia cha Mungu kuizaa TANZANIA MPYA na yote uliyosema yakanifikia, miezi michache ijayo USINILAUMU NA MIMI NIKIKUKANA NA HATA KUBLOCK NAMBA YAKO KABISA, maana wewe si rafiki, si ndugu, ULIAMUA KUJIPONYA NAFSI YAKO na kunitoa sadaka mimi mbele ya KUSUDI HILI LA KUIZAA TANZANIA MPYA ALILOKUSUDIA MUNGU 2025

2. Wale mitume, manabii wa uongo mliokaa vikao kinyume changu, na kuungana na wadhalimu kinyume changu na MAPENZI YA MUNGU kwenye taifa letu, JIANDAENI NA NINYI KUZAMA UDHALIMU UTAKAPOZAMA! Mmeibia wananchi hatukuwagusa, lakini sasa mmehusika kwenye uharibifu wa taifa, SHERIA HAITAWAACHA HURU! THE PAY BACK IS COMING IN LESS THAN 100 DAYS, MTAJIONEA WAZI KWAMBA KUKWEPA KUSIMAMA NA HAKI HAUKUWA UJANJA ILIKUWA KABURI LENU

3. Mtu mmoja mmoja ambaye ulijitolea KUNITISHA, KUNIINUKIA, KUNIITA MBELE YA CHOMBO CHOCHOTE ISIVYO HAKI ILI UNINYAMAZISHE NISISEME MUNGU ALIYOTAKA KWENYE NCHI HII KWA UNABII, JIANDAE NA WEWE ZAMU YAKO INAKUJA, YOU PAYBACK IS VERY CLOSE... TOKENI HARAKA MTUBU TOKENI HARAKA MSEME MAKOSA YENU TOKENI MAPEMA MUUNGANE NA WANANCHI TUSILAUMIANE BAADAE MSIPOTII SASA

Bishop Dickson Cornel Kabigumila 21.08.2025

✍️

Address

Boma Village
Urambo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Nuhu Kityaba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Pastor Nuhu Kityaba:

Share