King'ongo sda church

King'ongo sda church Put God first

Mungu awabariki sana wapendwa wetu waliojitoa kumpokea Mungu kwa njia ya ubatizo katika sabato ya ujirani mwema tar 08/0...
23/05/2021

Mungu awabariki sana wapendwa wetu waliojitoa kumpokea Mungu kwa njia ya ubatizo katika sabato ya ujirani mwema tar 08/05/2021 na kubatizwa tar 15 /05/2021 na jana 22/05/2021 kanisa liliwapokea na kupata walezi wa kiroho Mungu awatangulie wanapoianza safari mpya

Watoto walitubariki sana katika huduma ya ibada tar 22/05/2021 hawa ilikuwa ni siku ya wavumbuzi Mungu awabariki sana
23/05/2021

Watoto walitubariki sana katika huduma ya ibada tar 22/05/2021 hawa ilikuwa ni siku ya wavumbuzi Mungu awabariki sana

09/05/2021

King'ongo youth choir

Kwaya ya vijana ikiwa imetulia kabisa ndani ya kanisa la mwenge ikiwa ni siku kubwa ya tamasha la uimbaji
09/05/2021

Kwaya ya vijana ikiwa imetulia kabisa ndani ya kanisa la mwenge ikiwa ni siku kubwa ya tamasha la uimbaji

06/05/2021

Ibada ya Jubilee ya miaka 10 toka kutengwa kuwa Kanisa la Waadventista Wasabato King’ongo tar 01/05/2011🙏🏾
Maadhimisho haya yalifanyika tar 01/05/2021, tulibarikiwa sana na Pr. Mbuti Kusekwa Aliekuwa Mchungaji wetu kipindi Kanisa linatengwa.

Address

Kimara Mwisho/king'ongo Maduka Matatu
Ubungo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when King'ongo sda church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to King'ongo sda church:

Share