RBCT Ministry

RBCT Ministry RBCT-CHURCH Kanisa la kukombolewa na kubarikiwa lililojengwa kwenye msingi wa neno la Mungu karibu uabudu pamoja nasi. Tupo Ubungo Riverside Dsm
📞0783525209

21 DAYS  OF PRAYER AND FASTING DAY 1.MAOMBI YA KUOMBA.1: Omba Toba kwa kutokumwamini Mungu; pengine uliwahi kupitia au u...
19/01/2026

21 DAYS OF PRAYER AND FASTING DAY 1.

MAOMBI YA KUOMBA.

1: Omba Toba kwa kutokumwamini Mungu; pengine uliwahi kupitia au unapitia jambo furani gumu na ukawaza moyoni vibaya kwamba je? Mungu yupo kweli k**a angekuepo ningepitiaje hili jambo, kuwaza hivyo ni uovu mbele za Mungu, 11:6, 1:22

2: Omba Mungu akuongezee viwango vya Imani. Fahamu Imani tu ndio inaweza kukufanya kuwa rafiki wa Mungu; 17:5; 9:24; 2:23

3: Mungu akutie mafuta, katika kuomba kutiwa mafuta viko viwango vitatu vya mafuta omba vyote.

KIWANGO CHA KWANZA: Kiwango cha kuandaliwa 16:1-13 kitakupeleka kujaribiwa au kwenye darasa la kuliishi kusudi

KIWANGO CHA PILI
Viwango vya kuanza kuliishi kusudi, mafuta haya yatafanya uaminiwe katika eneo dogo na kuwa na matokeo madogo 15:22/28

KIWANGO CHA TATU; Mafuta ya kuthibitishwa, haya ni mafuta yatakayokufanya uwe yule uliyekusudiwa na Mungu; utimize kusudi 5:3

4: omba ujasiri wa kusema sawa sawa na Imani. Matendo 4:20

Pastor Jerry Nkinda RBCT Church
focus on your calling

1 Timotheo 4:14  Usiache kuitumia karama ile iliyomo ndani yako, uliyopewa kwa unabii na kwa kuwekewa mikono ya wazee.
10/11/2024

1 Timotheo 4:14 Usiache kuitumia karama ile iliyomo ndani yako, uliyopewa kwa unabii na kwa kuwekewa mikono ya wazee.

Eng.NKINDA congraturation, hatua mpya historia imeandikwa hakika MUNGU AWAJUA WALIO WAKE hongera sana sana!
03/12/2022

Eng.NKINDA congraturation, hatua mpya historia imeandikwa hakika MUNGU AWAJUA WALIO WAKE hongera sana sana!

Matthew 7:1[1]Judge not, that ye be not judged. Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.Mungu atusaidie sana.
15/05/2021

Matthew 7:1
[1]Judge not, that ye be not judged.
Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.

Mungu atusaidie sana.

10/05/2021

Katika huduma hii tutamuona Mungu akishughulika na Maisha yetu

Amka amka kumekucha
10/05/2021

Amka amka kumekucha

Mungu tuko nae hapa anatuhudumiaYeremia 15:3 Bwana ni MTU wa Vita na Bwana ndilo jina lake
10/05/2021

Mungu tuko nae hapa anatuhudumia
Yeremia 15:3 Bwana ni MTU wa Vita na Bwana ndilo jina lake

Address

Ubungo
Dar Es Salaam
789

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RBCT Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to RBCT Ministry:

Share