St Francis of Assiss TIA -SFAT Choir

St Francis of Assiss TIA -SFAT Choir Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from St Francis of Assiss TIA -SFAT Choir, Kurasini, Dar es Salaam.

Karibu kwenye ukurasa rasmi wa kwaya ya Mt Fransisko wa Asisi -SFAT Kutoka chuo cha Uhasibu TIA DSM inayofanya utume wake katika Parokia ya Mt Maurus Kurasini na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC
https://youtube.com/channel/UCwz9NBpoxMqwKo5lFF-8qsA

03/07/2022

Jumapili ya leo tulikuwa parokia ya nyumbani, Mt Maurus Kurasini ukitaka kutazama wimbo wote tembelea Account yetu kwa link hiyo hapo chini

https://youtu.be/RtCqPmMtTzk

USISAHAU KUSUBSCRIBE CHANNELI YETU YA YOUTUBE๐Ÿ™

02/07/2022

JUBILEI IMEFIKA LEO......
utunzi wa mwalimu ulivyoimbwa siku ya Jubilei ya masista wa shirika la SMI
#20132023

video shots by

@

02/07/2022

Ni amani na salama.....๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

siku ya leo kwa namna ya pekee tunampongeza mwalimu kiongozi wa kwaya yetu SFAT Edward Andrea kwa kutimiza miaka 74 ya k...
28/06/2022

siku ya leo kwa namna ya pekee tunampongeza mwalimu kiongozi wa kwaya yetu SFAT Edward Andrea kwa kutimiza miaka 74 ya kuzaliwa
Mmmmh nimesema ngapi oooooh ndhachanganya mambo, ana miaka 20+ mingine hatutaji for personal matter Kila la heri... Tunakupenda kiongozi wetu.

NI AMANI NA SALAMA.....
08/05/2022

NI AMANI NA SALAMA.....

Ikiwa leo ni siku ya pili kutoka mwisho kabla ya uongozi madhubuti wa SFAT ulioongozwa na .frank kukabidhi uongozi kwa k...
30/03/2022

Ikiwa leo ni siku ya pili kutoka mwisho kabla ya uongozi madhubuti wa SFAT ulioongozwa na .frank kukabidhi uongozi kwa kamati nyingine, leo tutawaangalia wadada wawili narudia wadada wawili sio hiyo picha ya kaka Gody Kalinga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ANNA EDECY pamoja na ELVIRA JACOB wadada waliobahatika kukaa ndani ya kamati kuu ya SFAT na ambao wameshiriki kwa nafasi kubwa kwenye success za SFAT
1. ANNA EDECY KATIBU MSAIDIZI
Mdada huyu ambaye hii ilikuwa ngwe yake ya pili ya uongozi ndani ya SFAT akitokea uhazini aliweza kuongoza kwaya hii kwa mafanikio makubwa pia akaweka historia ndani ya maisha yake kwa kushikana mkono moja kwa moja na rais wa JM Tanzania mbali ya mkono tuu pia kuongea na kusikilizwa akiwa live broadcast nchi nzima hakika tutakukumbuka Super woman wa SFAT kwa bahati mbaya ni mwaka wake wa mwisho wa masomo hivyo hatoweza kuchaguliwa tena kwa mujibu wa katiba ya TMCS na mwongozo wa TMCS TIA. we will miss u Anna
2. ELVIRA JACOB- MHAZINI
Huyu sasa ndio maestro mwengine mafanikio hayaji bila umakini na taarifa zilizokamilika kuna msemo wa waswahili unasema MALI BILA DAFTARI HUISHA BILA HABARI kwa jitihada zake ameweza kusimamia vyanzo vya mapato na amepambana mpaka SFAT imekamilisha matukio makubwa makubwa mpaka sasa Shooting ya nyimbo zaidi ya tatu recording ya nyimbo zaidi ya kumi haya yanahitaji mhazini makini asiye wa mchongo wali tulikula safari tulienda na mengi tulifanya ila uhalisia wa pesa anaujua dada Elvira
tutakukumbuka Super woman wa SFAT kwa bahati mbaya ni mwaka wake wa mwisho wa masomo hivyo hatoweza kuchaguliwa tena kwa mujibu wa katiba ya TMCS na mwongozo wa TMCS TIA. we will miss u Elvira
tia

Nyakati huja nyakati hupita na kwa maisha yetu ya uanafunzi chuoni, hatuna budi kukubaliana na zama wakati umefika viong...
27/03/2022

Nyakati huja nyakati hupita na kwa maisha yetu ya uanafunzi chuoni, hatuna budi kukubaliana na zama wakati umefika viongozi wetu wa juu wa TMCS wametoa kalenda kwamba mwisho wa mwezi huu utakuwa ndio muda wa mwisho kwa uongozi wa mwaka 2021/2022 na kuukaribisha uongozi wa 2022/2023, Ilikuwa ni tamaa yetu nyinyi muendelee kutuongoza mpaka mwisho lakini yote tunayaacha Mikononi mwake Mungu aliyewaleta na atakayewaleta wanaofuata ili kazi yake isonge mbele. Alama yenu mliyoiweka haitafutika ndani yetu na tunawapenda sana uongozi wa mwenyekiti Frank Don Hyera

Picha:Wanakwaya wa kwaya ya Mt Francisco Wa Assis, Chuo Cha Uhasibu DSM, Wakiwa katika moja ya matukio ya Uinjilishaji n...
15/03/2022

Picha:Wanakwaya wa kwaya ya Mt Francisco Wa Assis, Chuo Cha Uhasibu DSM, Wakiwa katika moja ya matukio ya Uinjilishaji ndani ya Jimbo Kuu la DSM, Ikiwa ni Muendelezo wa matukio yanayofanywa na kwaya hiyo katika kipindi hiki cha Kwaresma.


Picha na;

Rasmi ukurasa wa SFAT facebook umefunguliwa karibuni tushiriki uinjilishaji wa kwaya yetu hii
01/03/2022

Rasmi ukurasa wa SFAT facebook umefunguliwa karibuni tushiriki uinjilishaji wa kwaya yetu hii

Address

Kurasini
Dar Es Salaam
+255

Telephone

+255673216024

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St Francis of Assiss TIA -SFAT Choir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to St Francis of Assiss TIA -SFAT Choir:

Share