Maawal Islamic Association

Maawal Islamic Association Shirika la kuhudumia walemavu hasa Viziwi

Permanently closed.
09/10/2020

Assalam alaykum maawal sec inawatangazia nafasi za pre form one fomu ni bure fika shuleni shule ipo Tanga mjini

Rais wa Taasisi ya Maawal Sheikh muhamad Hariri pamoja na Mudir wa Maawal wakiwa na mgen rasmi Rais wa mstaafu wa awamu ...
26/08/2019

Rais wa Taasisi ya Maawal Sheikh muhamad Hariri pamoja na Mudir wa Maawal wakiwa na mgen rasmi Rais wa mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania muheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na M***i mkuu wa Tanzania sheikh Muhammad Zuberi katika shughul ya maawal Day

04/08/2019

A alaykum.
Sheikh Moh'd Hariri Mkuu wa Taasisi ya Maawal islam Tanga anayo furaha kukualika katika haul(Maawa day) itakayo fanyika tar 24 na 25/08/2019.
Kufika kwako ni mafanikio makubwa ya hadhara hiyo.
Allah Ajaalie uwepo wako katika siku hizo.
Amiyn.

16/02/2019
07/12/2018

Maawal-Islam Association..

ni taasisi inayojishulisha na usimamizi wa taaluma na malezi ya kidini na imani..

katika upande wa taaluma taasisi hii inavitengo vikuu viwili.

1. Elimu ya dini´´ ambayo ndiyo moyo wa malezi kwa taasisi yetu

2. Elimu ya mazingira(Dunia).
Ambayo ni moyo wa kiuchumi kwa jamii..

Kwahiyo sambamba na Taaluma. Taasisi inajihusisha na kuimarisha jamii kiuchumi kwa kutoa fikra mbalimbali za kiuchumi na kitaaluma kwa jamii.

Fani zinazopatikana katika upande wa taaluma.

tukianza na taaluma ya dini.

Katika upande wa dini kuna marhala tatu yaani mistawa mitatu yaani viwango vitatu kitaaluma.

1. Ibtidaiyya(Primary)
2. Mutawasitwa(O`level).
3. Thanawi(High level)

Katika upande wa shule.

1. Level ya Secondary kuanzia form one mpaka form four.

Kwa upande wa madrasa(Elimu ya dini) mtoto atasoma masomo yake yote kwa kuzingitia level yake.

Masomo yanayosomeshwa kwa upande wa madrasa.

A. Ibtidaiyya(Primary)

1.Akhlaki
2.Tawhiid
3.Qur´an
4.Tafsiri ya Qur`an
5.Hadith
6.Fiqh
7. Siira
8. Taarekh
9. Nahwu
10. Swarfa
11. Lugha ya kiarabu
12. Imla/Taabiri
13. Jiografia
14. Hisabu
15. Tajwiid

B. Mutawasitwa(O´level)

1. Qur`an
2. Tafsiri ya Qur`an
3. Hadith
4. Fiqh
5. Tawhiid
6. Siira
7. Taarekh
8. Balagha
9. Nahwu
10. Swarfa
11. Adabu
12. Arudhwi
14. Imla/Taabiri
15. Jiografia
16. Miikati
17. Faraidhwi
18. Mustwalahul Hadiith
19. Usuulul Fiqh

C. Thanawa(High level)

1. Qur`an
2. Tafsri ya Qur`an
3. Tawhiid
4. Hadith
5. Fiqhi
6. Siira
7. Taarekh
8. Jiografia
9. Balagha
10. Nahwu
11. Swarfa
12. Adabu
13. Arudhwi
14. Imla/Taabiri
15. Mustwalahul hadiith
16. Miiqat
17. Faraidhwi.
18. Alfiraqu wal adiyani.
19. Usuulul Fiqh

Ila kuna masomo ya ziada ambayo ni.
1. English
2. Kiswahili
3. Computer.

Katika upande wa Shule(Elimu ya Mazingira) masomo yasomeshwayo ni.

1. Kiswahili
2. English
3. Arabic
4. Civcs
5. History
6. Geography
7. Biology
8. Mathematics
9. Physcs
10. Chemistry
11. Bookiping
12. Commerce
13. Islamic
15. Literature.

Masomo ya Ziada ni Computer..

Masomo yote hayo hufundishwa kwa kuzingatia Darasa husika.

Ila taasisi ina matawi(branch) katika maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi..

Ambamo katika branchs hizo kuna somomeshwa kwa level ya.

1. Raudhw (Nursary)
2. Ibtidahiya (Primary)

na katika branchs hizo hizo vipo vitengo vya nursary k**a narsary vinyojitegemea.

Masomo ya narsary na ibtidaiya kwa kuzingitia sera za nchi na mfumo wa taasisi ni.

1. English
2. Sciencs
3. Arabic
4. Mathematicsnug
5. Islamic
6. Michezo(Sports)
7. Qur`an

Masomo yote hufundishwa kwa kuzingatia sera za nchi na Mfumo wa taasisi.

Kwa kuzingitia hayo tunaomba jamii ituletee watoto wao au wao wenyewe waje kufaidika na kuondoa udhuru wa kukosa taaluma.

ila pia tunakitengo cha Hifdhul Qur´an ambacho hiki hujitegemea na huwa masomo yake ni kuanzia baada ya swala ya Maghribi mpaka Saa tatu Usiku.
kwakuzingatia ratiba iliyopangwa.

Shukran.

Wabillahy tawfiyq.

19/11/2018

BAADHI YA VYAKULA VINAVYOCHOCHEA MAPENZI.
🦐🦀🐳🐬🐋🦈🐡🐪🐏🐓
Tafiti zinatuonyesha kuwa kwa kipindi kirefu, wanawake na wanaume wamekuwa wakitumia mbinu ya chakula kuwavutia wapenzi wao. Mara nyingine chakula hicho kinakuwa kinaongeza hamu ya kujamiiana na kuna wakati ni harufu au ladha ya chakula hicho ndiyo inayokufanya kupata hisia hizo, muonekano wake, ladha yake unapokila, uhaba wake.
Vyakula vinavyoongeza hamu ya kufanya mapenzi
🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎
Asali
Pamoja na utamu wake, asali ina nafasi kubwa ya kuongeza hamu ya kujamiiana kwakuwa ina aina zote za madini ya Vitamin B, ambayo ndio yanasaidia sana kuupa mwili nguvu.
Unaweza kula vijiko kadhaa kila siku, wengine huichanganya wakiwa wanaotengeneza keki, kuipaka kwenye mkate au chakula chochote.
🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒
Chocolate
Wataalamu wanasema kuwa dawa pekee ya ukweli kwenye maswala ya mapenzi ni cocoa. Cocoa inachochea uzalishaji wa homoni zinazofanya ujisikie vizuri aina ya serotonin na dopamine, na ina kemikali aina ya phenylethylamine, inayotengenezwa kwa wingi kwenye ubongo unapoingia mapenzini. Cocoa inafanya kazi hii hasa inapochanganywa na chocolate kwakuwa inayeyuka kirahisi na kuleta hamasa ya kimapenzi mdomoni. Kwakuwa chocolate ni nzuri unapoila”na inafanya tujisikie vizuri baada ya kuitumia”zawadi inayomfanya mtu apate hisia nzuri ya kufanya mapenzi siku zote.

🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒
Parachichi
Wataalamu wa masuala ya mapenzi wanasema kuwa parachichi linaingia kwenye kundi hili kwakuwa umbo lake linafananishwa na maumbile ya siri ya mwanaume au mikunjo katika mwili wa mwanamke na kwamba ulaini wake na jinsi linavyotoa majimaji huongeza hisia za mapenzi. Yanaweza kuliwa yenyewe au kwa kuchanganywa kwenye vyakula vingine.
Yana kiwango kikubwa cha mafuta na vitamin E vyenye kazi ya kuongeza msukumo wa damu, hivyo kuongeza kiwango cha utengenezwaji wa testosterone. K**a hutaki kutumia parachichi kwa kazi hii, basi litakusaidia kwa kung’arisha ngozi kutokana na madini ya vitamin E.
🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒
Mbegu za maboga(Binjira)
Mbegu za maboga zina wingi wa madini ya tyrosine (aina mojawapo ya asidi aina ya amino inayosaidia kuchangamsha mwili). Mbegu hizi pia zina virutubisho vingi vinavyosaidia kuongezeka kwa msukumo wa damu mwenye viungo vya uzazi.
Unaweza kuzioka kwenye oveni, kuzisaga au kuzikaanga bila kuziunguza sana,pia unaweza kula kwa kuzichanganya na vyakula vingine, ikiwamo asali pia ili kuongeza faida zaidi.
🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒
Tikiti
Wataalamu wanasema kuwa watu wengi hawajui jambo moja kuhusu tiketi: kwamba k**a ambavyo tiketi linaweza kukata kiu yako kwa wingi wa maji yaliyomo, ndio hivyo hivyo inavyoweza kukusaidia kwenye maswala ya kujamiiana. Utafiti umeonesha kuwa tunda hilo lina kiwango kikubwa cha viambata aina ya citrulline, ambayo ina kazi sawa na dawa aina ya Vi**ra kwa mwanaume.
🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒
Tangawizi
Tangawizi inafanya damu iende kwa kasi jambo linaloweza kusababisha mwili uweze kupata msisimko wa kimapenzi kirahisi sana. Pia inasaidia kuboresha mfumo wa usagaji wa chakula, jambo linalosaidia sana kukufanya ubaki kuwa na hamu ya kufanya mapenzi k**a umekula chakula kingi.
🍑🍑🍑🍑🍑🍑🍑🍑🍑
Abou Said A.C

Al-ilmu noor
27/08/2018

Al-ilmu noor

Maawal sport day bonanza ilikua hivi,,,,, walimu, wazazi, wageni waalikwa na mgeni rasm pamoja na wanafunz kwa pamoja tu...
01/05/2018

Maawal sport day bonanza ilikua hivi,,,,, walimu, wazazi, wageni waalikwa na mgeni rasm pamoja na wanafunz kwa pamoja tuliburudika na kufurahi sana. Furaha zetu hazikututoa hata kidogo kwenye misingi ya dini ya kiislamu, nidham tulizingatia.

08/04/2018
Baadhi ya Walimu wa maawal sec wakibadilishana mawazo
08/04/2018

Baadhi ya Walimu wa maawal sec wakibadilishana mawazo

Address

Tanga

Telephone

+255783368394

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maawal Islamic Association posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Maawal Islamic Association:

Share