31/05/2023
MUNGU ni baba yetu na sis ndio watoto wake tuendee kwanini kupeleka mahitaji yetu? He waweza mwacha baba yako nyumbani ukaenda kuomba maitaji kwa baba mwengine? Jibu ni kwamba haiwezekani katika Hali ya kawaida.lakini sikuizi kumekuwa na wimbi kubwa na watu wanacha kuomba maitaji kwa baba yao wa mbinguni wanatafuta mahitaji kwa baba wengine waganga wakienyeji, wachawi,kutumaini akili zao, ndio maana hawafiki mbali Mafanikio mazuri ni Yale yanayotokana na baba yetu wa mbinguni yani MUNGU.kwasababu MUNGU akiamua kumwinua mtu hakuna mwanadamu yeyote and weza kumtoa mahali pale isipokuwa yeye mwenyewe .yusufu aliomekana kuwa mtu wakawaida Sana machoni pa watu lakini yusufu kwasababu alikuwa anajua yupo Mungu Alie juu ambaye ni baba yake aliendelea kumuomba mahitaji yake Aya alikpokuwa gerezani bado MUNGU Ali Muitikia na akampandisha mahali pajuu palipo inuka Sana .SOMO kwetu MUNGU akitaka kumwinua mtu mazingira so kitu kwake kwasababu yeye anaouweza jua ya vitu vyote chini ya jua endelea kumwamini ,ishi maisha matakatifu,fanya kazi kwabidi na yeye ni mwaminifu ata badili historian ya maisha yako .
MUNGU ni baba yetu na sis ndio watoto wake tuendee kwanini kupeleka mahitaji yetu? He waweza mwacha baba yako nyumbani ukaenda kuomba maitaji kwa baba mwengine? Jibu ni kwamba haiwezekani katika Ha…