05/09/2025
BWANA YESU apewe sifa. 🤗🤗Ni furaha yetu kukualika katika ibada maalum ya kusifu na kuabudu inayoenda Kwa jina la Waabudu halisi.ni tar 14 mwezi huu.Usipange kukosa mpendwa. 🎉🎉
Yohana 4:23-24
Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu k**a hao wamwabudu.
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.