20/06/2026
KUFUNGA NAKUOMBA UREJESHI WA WINGU LAKO;
SIKU 3/40, KUONDOA ROHO YA KUCHELEWESHWA....(DELAYING SPIRIT)
Note: Moja ya vitu hatari na vinaleta mauivu kwa mtu ni ROHO YA KUCHELEWESHWA....!!!! huu huwa ni mpango thabiti wa Adui kukuinulia mtu makusudi kabisa Utakae mwamini na kufanya nae kazi, biashara, kuchumbiana nae, kuoana nae, Kufanya nae huduma, vyovyote vle ummetaka na kupanga kuwa,kuna mtu/kiumbe/kitu/jitu pembeni yako limeandaliwa kukukwamisha kwa njia ya kukuchelewesha......!!
mathayo 25:1-11, K**a BWANA HARUSI ANGEWAHI,WALE WAREMBO WATANO(5) WASINGEBATIZWA WAPUMBAVU......,
Note: wanaokuita Mpumbavu leo, ndio waleee waliokupumbaza ukachelewa.....,
LEO: Jumapili ya 21/6/2026 NITASHUGULIKIA WACHELEWESHAJI, KUANZIA SAA MBILI ASBH HII MPAKA BAADAE USIKOSE!!!