Tanzania Assemblies of God - TAG Maranatha Singida

Tanzania Assemblies of God - TAG Maranatha Singida Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzania Assemblies of God - TAG Maranatha Singida, MLAI, Singida.

05/04/2026
Yohana 1123 Yesu akamwambia, Ndugu yako atafufuka.24 Martha akamwambia, Najua ya kuwa atafufuka katika ufufuo siku ya mw...
05/04/2026

Yohana 11
23 Yesu akamwambia, Ndugu yako atafufuka.

24 Martha akamwambia, Najua ya kuwa atafufuka katika ufufuo siku ya mwisho.

25 Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;

Kanisa la TAG Maranatha Singida, linakukaribisha ktk semina ya Pasaka karibu sana
27/03/2026

Kanisa la TAG Maranatha Singida, linakukaribisha ktk semina ya Pasaka karibu sana

01/03/2026

Kwaya ya wanawake Tanzania Assemblies of God - TAG Maranatha Singida wakimwimbia Mungu

Mama mch Ndalama akifundisha neno ktk ibada ya sikukuu ya wwk
01/03/2026

Mama mch Ndalama akifundisha neno ktk ibada ya sikukuu ya wwk

Baadhi  ya wazee wa kanisa Tanzania Assemblies of God - TAG Maranatha Singida na uongozi wa idara ya wwk wakiwa katika p...
01/03/2026

Baadhi ya wazee wa kanisa Tanzania Assemblies of God - TAG Maranatha Singida na uongozi wa idara ya wwk wakiwa katika picha ya pamoja.

Timu ya kusifu na kuabudi ikimwimbia Mungu hapa TAG Maranatha
25/02/2026

Timu ya kusifu na kuabudi ikimwimbia Mungu hapa TAG Maranatha

Inapendeza ndugu kukaa pamoja
09/02/2026

Inapendeza ndugu kukaa pamoja

Mwenyekiti wa wwk sehemu ya Singida mjini kati akihudumu ktk ibada  ya kwanza TAG Maranatha leo tarehe 01/02/2026
01/02/2026

Mwenyekiti wa wwk sehemu ya Singida mjini kati akihudumu ktk ibada ya kwanza TAG Maranatha leo tarehe 01/02/2026

Address

MLAI
Singida

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Assemblies of God - TAG Maranatha Singida posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share