10/09/2019
"kwa maana jins hii MUNGU aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe pekee ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele"YOH 3:16,Yesu pale msalabani hakuwa analeta dheheb wala din,bali ukomboz ambao ni wokov upatkanao kwa iman wala si kwa sheria