FPCT Penueli-Iwelyangula Shinyanga

FPCT Penueli-Iwelyangula Shinyanga We are happy to welcome you to our services held every Sunday, Wednesday and Friday. Jesus Christ is Lord and Savior. Romans 5:1

"Si kwamba nimekwisha kufika, au nimekwisha kuwa mkamilifu; la! Bali nakaza mwendo ili nipate kulishika lile ambalo kwa ...
31/07/2026

"Si kwamba nimekwisha kufika, au nimekwisha kuwa mkamilifu; la! Bali nakaza mwendo ili nipate kulishika lile ambalo kwa ajili yake nimeshikwa na Kristo Yesu. Ndugu, sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika; ila natenda neno moja tu; nikiyasahau yaliyo nyuma, nikiyachuchumilia yaliyo mbele; nakaza mwendo, niifikilie mede ya thawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika Kristo Yesu."
Wafilipi 3:12-14

18/07/2026

Shalom!
Unakaribishwa kwenye Ibada ya Kesho Jumapili 19/07/2026. Kuanzia saa 3:00 hadi saa 6:00 Mchana

04/07/2026

Amani iwe kwako..
Karibu sana kwenye Ibada ya kesho kuanzia saa 3:00 Asubuhi hadi saa 6:00 Mchana.

 Wiki ya Vijana imehitimishwa hivi leo Jumapili Tarehe 28/06/2026.Hawa ni baadhi ya vijana wa Yesu kutoka Tawi la Penuel...
28/06/2026


Wiki ya Vijana imehitimishwa hivi leo Jumapili Tarehe 28/06/2026.
Hawa ni baadhi ya vijana wa Yesu kutoka Tawi la Penuel wakiwasilisha ahadi zao za kutunisha Mfuko wa Idara ya Vijana Wa Tawi la Penuel. Watu wote mnakaribishwa, unaweza kuwa- support kwa chochote na Mungu atakubariki sana.

 MATUKIO KATIKA PICHA IBADA YA LEO JUMAPILI Tarehe 28/06/2026Mwenyekiti wa Idara ya Vijana wa Tawi la FPCT PENUEL IWELYA...
28/06/2026


MATUKIO KATIKA PICHA
IBADA YA LEO JUMAPILI Tarehe 28/06/2026
Mwenyekiti wa Idara ya Vijana wa Tawi la FPCT PENUEL IWELYANGULA, Ev. Mariam Petro akieleza Azima ya Idara hiyo ya kuchangia Maendeleo ya Kazi ya Mungu Penuel Iwelyangula Shinyanga.

20/06/2026

Karibu Katika Ibada ya Kesho Jumapili Tarehe 21/06/2026 kuanzia saa 3:00 Asubuhi hadi saa 6:00 Mchana.

Ibada yetu leo.. Tarehe 14 June 2026Ujumbe: FAIDA ZA KUKAA NDANI YA YESU KRISTO. ANDIKO: Yohana 15:1-8Mahali: FPCT Penue...
14/06/2026

Ibada yetu leo.. Tarehe 14 June 2026
Ujumbe: FAIDA ZA KUKAA NDANI YA YESU KRISTO.

ANDIKO: Yohana 15:1-8
Mahali: FPCT Penuel Iwelyangula Shinyanga.

13/06/2026

Kwa moyo wa upendo Tunawakaribisha kwenye ibada ya kesho Jumapili Tarehe 14/06/2026 kuanzia saa 3:00 Asubuhi hadi saa 6:00 Mchana. Maombi na maombezi yatafanyika kwa wale wote wenye mahitaji mbalimbali. Watu wote mnakaribishwa. Yesu Kristo anaweza yote.

Faida mojawapo ya kuokoka kwa kumwamini Yesu Kristo ni pamoja na kupokea uwezo wa Ki-Mungu utupao kushinda mambo ya ulim...
27/05/2026

Faida mojawapo ya kuokoka kwa kumwamini Yesu Kristo ni pamoja na kupokea uwezo wa Ki-Mungu utupao kushinda mambo ya ulimwengu.

Address

Iwelyangula
Shinyanga

Opening Hours

Wednesday 16:00 - 18:00
Friday 16:00 - 18:00
Sunday 09:00 - 13:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FPCT Penueli-Iwelyangula Shinyanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to FPCT Penueli-Iwelyangula Shinyanga:

Shortcuts

Share