Mvure Seventh Day Adventist Church

Mvure Seventh Day Adventist Church REVELATION 14:6-12 Each chapter concludes with a text about the Second
Coming.

" THE SECOND COMING OF JESUS CHRIST AND THE SABBATH "

Texts about the Second Coming:

• John 14:1-3—Jesus promised that He would return.

• Acts 1:9-11—Angels also said He would come again.

• Ps. 50:3—David spoke of His coming.

• Rev. 1:7—When He comes, every eye shall see Him.

• Matt. 24:27—It will be like lightning shining from the east to the west.

• 1 Thess. 4:16, 17—It will be a l

oud and audible
event.

• 1 Cor. 15:51-54—The gift of immortality is given at that time.

• Matt. 16:27—It will be a glorious event.

• Isa. 25:9—To the righteous, it is a joyous event.

• Rev. 19:11-16—Jesus returns as King of Kings.

• Titus 2:13—The Second Coming is called the
“blessed hope.”
If people want to know more about the Second Coming, offer to study the book of 1Thessalonians with them. Texts about the Sabbath:

• Rev. 14:6, 7—God’s final message calls humanity to worship the Creator.

• Eph. 3:9—Jesus is our Creator, so we should
worship Him.

• Ex. 20:8-11—We worship our Creator by keeping the Sabbath.

• Gen. 2:1-3—God set the Sabbath apart at Creation by resting on it.

• Mark 2:27, 28—The Sabbath was given to mankind, long before there was a Jew.

• Ezek. 20:12, 20—It is a sign between God and man, that they are His people.

• Luke 4:16—Jesus faithfully kept the Sabbath; it was His custom.

• Matt. 24:20—Jesus predicted that the Sabbath
would be kept after His death.

• Acts 13:42-44—Paul taught Jews and Gentiles to 29 worship on the Sabbath.

• Acts 16:13—Believers in Philippi worshiped on the Sabbath.

• Rev. 1:10; Matt. 12:8; Mark 2:27, 28; Luke 6:5—The Sabbath is “the Lord’s day.”

• Luke 23:53-56; 24:1—It is after “preparation day” and one day before the first day.

• Isa. 66:22, 23—The Sabbath will be kept forever in heaven.

• Ps. 92—This favorite chapter is known as the Psalm of the Sabbath.

Karibu Kufatilia Mahubiri ya Kahama NET Event
11/05/2024

Karibu Kufatilia Mahubiri ya Kahama NET Event

Follow us on Instagram, Twitter and Facebook as SUA SDA CHURCHSubscribe for More Information Call : +255 756 846 870

14/07/2023

Pr. Mark Finley anakualika katika mahubiri makini kupitia Satellite kutokea, New Life S.D.A Church in Nairobi kuanzia tareh 2-16/September,2023.

14/03/2023

*KESHA LA ASUBUHI 2023*

JUMANNE, MACHI 14

*MUUMBAJI WA MBINGU NA NCHI.*

Kwa sababu mambo yake yasiyoonekana tangu kuumba ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru.
— Warumi 1:20

✒️ "Kulikuwa na mtu mmoja huko Kaisaria aliyeitwa Kornelio, akida wa kikosi kilichoitwa Kiitalia, mtu mtauwa, mchaji wa Mungu, yeye na nyumba yake yote, naye alikuwa akiwapa watu sadaka nyingi, na kumwomba Mungu daima." Japokuwa Kornelio alikuwa Mrumi, alikuwa amemfahamu Mungu wa kweli, na alikuwa ameachana na ibada ya sanamu. Alikuwa mtiifu kwa mapenzi ya Mungu, na alimwabudu kwa moyo mkunjufu. Hakuwa ameungana na Wayahudi, lakini aliifahamu na kuitii sheria ya maadili. Hakuwa ametahiriwa, wala kushiriki katika kutoa dhabifu ya kafara; kwa hiyo alihesabiwa na Wayahudi kuwa najisi. Yeye, hata hivyo, alidumisha asili ya Kiyahudi kwa kutoa sadaka za ukarimu, alijulikana pote kwa matendo yake ya hisani na ukarimu. Maisha yake ya uadilifu yalimfanya kuwa na sifa nzuri, miongoni mwa Wayahudi na Wamataifa.

✒️ Kornelio hakuwa na imani yenye ufahamu katika Kristo, ingawaje aliuamini unabii, na alikuwa akimtazamia Masihi aje. Kupitia kwa upendo na utiifu wake kwa Mungu, alivutwa karibu na Yeye, na alikuwa tayari kumpokea Mwokozi wakati atakapofunuliwa kwake. Hukumu huja kwa kuikataa nuru iliyotolewa. Yule akida alikuwa mtu wa familia adilifu, na alikuwa na cheo cha uaminifu na heshima kubwa; lakini hali hizi hazikuwa na mwelekeo wa kupindua sifa adilifu za tabia yake. Wema wa kweli na ukuu viliungana kumfanya kuwa mtu mwadilifu. Mvuto wake ulikuwa wa manufaa kwa wote ambao alikutana nao.

🔘 Alimwamini Mungu mmoja, Muumba wa Mbingu na Nchi. Alimheshimu, alikubali mamlaka Yake, na kutafuta ushauri Kwake katika shughuli zote za maisha yake. Alikuwa mwaminifu katika kazi zake za nyumbani na pia katika majukumu yake ya kiofisi, na alikuwa amesimamisha madhabahu ya Mungu katika familia yake. Hakuthubutu kutekeleza

Gazeti la Waadventista Wa Sabato Ulimwenguni Toleo la Kiswahili hili sio la kukosa Kila mwezi.Pia utapata   zenye kutia ...
03/12/2020

Gazeti la Waadventista Wa Sabato Ulimwenguni Toleo la Kiswahili hili sio la kukosa Kila mwezi.Pia utapata zenye kutia nguvu Kila siku.Hakisha haya hayakupiti kujiunga ni Sana ni kupitia yako pekee unakua

Yaliyomo ndani na ya kimataifa kuhamasisha na kushiriki!

 Pata Habari Kemkem toka katika gazeti lako pendwa Kila alhamisi ya wiki ✓Habari za Kanisa/Kitaifa/Kimataifa/Uchambuz hi...
21/10/2020


Pata Habari Kemkem toka katika gazeti lako pendwa Kila alhamisi ya wiki
✓Habari za Kanisa/Kitaifa/Kimataifa/Uchambuz hii ni Kila Alhamisi ya wiki

✓Jipatia nakala yako kwa Tsh.1000/= tuu
✓Kwa wale wenye simu janja jipakulie App ya na ujipatie gazeti lako pendwa la kwa Tsh.500/= tuu

14/10/2020

At 2020 Annual Council, Adventist Review Ministries launches new WhatsApp channel app.

23/09/2020

Usikose nakala yako, kila alhamis, pia unaweza jipatia kupitia M-Paper, ni rahisi sana kwa watumiaji wa Android pakua app kupitia Google playstore kisha instal na ufuate maelekezo, na kwa watumiaji wa IOS pakua kupitia APPSTORE, instal kisha fuata maelekezo, kwa shilingi 500, utasoma gazeti lako la

Cc







19/09/2020

Address

P. O. BOX. . . KIHURIO, SAME
Same
KILIMANJARO,

Telephone

+255654977712

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mvure Seventh Day Adventist Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mvure Seventh Day Adventist Church:

Share