Parokia ya Mt Yakobo Mtume Mhandu

Parokia ya Mt Yakobo Mtume Mhandu IMANI YETU,MATENDO YETU, KATIKA MUNGU MMOJA

Leo ni siku kuzaliwa paroko wa parokia yetu, amefanyika baraka kwetu na Kwa kanisa, tumuombe Mungu aendelee kumlinda na ...
22/07/2026

Leo ni siku kuzaliwa paroko wa parokia yetu, amefanyika baraka kwetu na Kwa kanisa, tumuombe Mungu aendelee kumlinda na kumtunzašŸ™

10/06/2026

šŸŽ„MANDAMANO YA EKARISTI TAKATIFU, PAROKIA YA MAHINA & MHANDU -MWANZA

Karibu Utazame Shangwe na Maandamano ya Waamini katika mitaa mbalimbali Parokia ya Watakatifu Simoni na Yuda &Parokia ya Mtakatifu Yakobo Mkuu Mtume Mhandu Jimbo kuu katoliki Mwanza wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu Dominika ya Mwili na Damu ya Bwana wetu Yesu Kristo iliyofanyika juni 7,2026

Maandamano hayo yameongozwa na Padre Carol Lubinza, Evarist Chelaan

Pongezi nyingi kwenu, kwaya ya Mt kizito
24/05/2026

Pongezi nyingi kwenu, kwaya ya Mt kizito

Pongezi nyingi Kwa kwaya ya Mt kizito, Kwa kuibuka kidedea,mungu aendelee kuwabariki na kuwatunza
24/05/2026

Pongezi nyingi Kwa kwaya ya Mt kizito, Kwa kuibuka kidedea,mungu aendelee kuwabariki na kuwatunza

HABARI PICHA MHANDU -MWANZA Matukio mbalimbali katika picha ni wakati wa Igizo ya  Mateso Yesu Siku ya Jumaa kuu  kutoka...
07/04/2026

HABARI PICHA
MHANDU -MWANZA

Matukio mbalimbali katika picha ni wakati wa Igizo ya Mateso Yesu Siku ya Jumaa kuu kutoka kwa Vijana Wakatoliki wafanyakazi kazi (Viwawa) Parokia ya Mtakatifu Yakobo Mtume Mhandu Jimbo kuu katoliki Mwanza leo Aprili 3,2026.
www.mhanduparish.co.tz

HABARI PICHA MHANDU -MWANZAPicha mbalimbali katika matukio ni Wanawake wakatoliki Tanzania (WAWATA) leo wametoa zawadi y...
07/04/2026

HABARI PICHA MHANDU -MWANZA

Picha mbalimbali katika matukio ni Wanawake wakatoliki Tanzania (WAWATA) leo wametoa zawadi ya Pasaka kwa vyombo mbalimbali kwa ajili kuhudumu Nyumba ya Mapadre Parokia,basi hongereni sana Wamama wote kwa majitoleo yenu mazuri
www.mhanduparish,co.tz
Imaniyetumapendoyetukatikamungummoja.

05/04/2026

šŸŽ„KUBARIKI MAJI MKESHA WA PASAKA MHANDU- MWANZA

Karibu utazame Wakati ya Adhimisho la Misa Takatifu Kubariki Maji na Padre Carol John Lubinza Paroko kutoka Parokia ya Mtakatifu Yakobo Mtume Mhandu Jimbo kuu katoliki Mwanza April 4,206.

www.mhanduparish.co.tz

Address

P. O. Box 11478
Nyakato

Telephone

+255768588345

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Parokia ya Mt Yakobo Mtume Mhandu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share