Ukwata Njombe sekondari

Ukwata Njombe sekondari Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ukwata Njombe sekondari, Religious organisation, Njombe.

Pumzika kwa Amani .Elihuruma Minja. Katibu Ukwata Njombe sekondari 2012-2013.Tutaonana Bwana ajapo.
17/02/2022

Pumzika kwa Amani .Elihuruma Minja. Katibu Ukwata Njombe sekondari 2012-2013.

Tutaonana Bwana ajapo.

20/06/2019

Bwana YESU asifiwe

Habari za masiku Wapemdwa Katika BWANA

10/01/2019

Nawasalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo aliye hai...

23/04/2015

Tunawatakia sherehe njema wanafunzi wote wa Njombe sekondari...kwa wanaukwata wote tafaadhari tunza utakatifu kumbuka uliokolewa peke yako na utanajisika peke yako,madhari yake ni makubwa mno 1petro2;20-23

05/04/2015

Hayawi hayawi sasa yamekuwa hatimaye kwa muda zaidi ya miaka nane tumeweza kutwaa ubingwa katika mashindano ya mkutano wa pasaka 2015 hapa mtwango sekondari,Ahsante Yesu

05/04/2015

VIONGOZI WA MKOA KUTOKA NJOMBE SEKONDARI WALIO CHAGULIWA LEO MANANE YA USIKU
1.JOSEPH SOLOMON-mwenyekiti mkoa-katibu tawi(PCM V)
2.ELISHA FREDRIC-Mratibu maombi mkoa-Mratibu maombi tawi(PCB V)

VIONGOZI WENGINE
3.ERICKA MLOWE-katibu Mkoa-mkt wilaya-mratb maomb umoja

04/04/2015

muda si mrefu tunapanda jukwaani kuwasilisha kazi yetu ya shairi,sisi ni kikundi namba kumi,endeleeni kutuombea

03/04/2015

Punde tumetoka kumaliza kuwasilisha ngonjera

03/04/2015
Mmari miongoni mwa wana praise ktk mkutano wa pasaka Mtwango
03/04/2015

Mmari miongoni mwa wana praise ktk mkutano wa pasaka Mtwango

HAPA NDIO ENEO LA MKUTANO WA PASAKA MKOA WA NJOMBE 2015,MTWANGO SEKONDARI N.D.D.T
02/04/2015

HAPA NDIO ENEO LA MKUTANO WA PASAKA MKOA WA NJOMBE 2015,MTWANGO SEKONDARI N.D.D.T

Tuko mtwango mkutanon
02/04/2015

Tuko mtwango mkutanon

Address

Njombe

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ukwata Njombe sekondari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share