Kwaya ya Mt.Yudathadei Njombe

Kwaya ya Mt.Yudathadei Njombe Kwaya Katoliki kutoka Parokia ya Njombe Jimbo Katholiki la Njombe.

02/09/2026

ni wimbo pendwa wa dada yetu Lucia

30/08/2026

ikiombwa ya Dada yetu glory njawike confidenc

Tumsifu Yesu Kristo.....Tunawatakia Jumapili Njema Mungu Akazibariki kazi za mikono yenu.
30/08/2026

Tumsifu Yesu Kristo.....

Tunawatakia Jumapili Njema Mungu Akazibariki kazi za mikono yenu.


Karibu utazame ufundi kutoka wa kumuimbia mungu kutoka kwa huyu dada akiimba unikumbushe ya kwaya Secilia Makuburi
30/08/2026

Karibu utazame ufundi kutoka wa kumuimbia mungu kutoka kwa huyu dada akiimba unikumbushe ya kwaya Secilia Makuburi

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

28/08/2026

ni wimbo pendwa dada yetu Editha wimbo gani pendawa kwa kwako pia unatamani mwanakwa yupi mwingine atuimbie wimbo wake pendwa tuandikie kwenye comment.

24/08/2026

Ni nani aliyetoa sadaka na kwa sadaka hiyo ikamfilisi hakuna na haiwezekani

24/08/2026

Hakika wana meremeta wakiwa wanamtumikia Mungu karibu tumeremete pamoja.

Tunapenda kuwatakia Jumapili njema yenye Baraka tele.
23/08/2026

Tunapenda kuwatakia Jumapili njema yenye Baraka tele.

22/08/2026

Kwaya ya Mtakatifu Yuda Thadei imepata fursa ya kushiriki katika kuongoza Misa Takatifu ya Sakramenti ya Ndoa ya Bw. Erick Mwabena na Jovitha, iliyofanyika katika Jimbo Kuu Katoliki la Njombe. 🙏🎶💒

Tunawapongeza na kuwaombea heri wanandoa hawa wapya, Mungu awajalie upendo, amani na umoja katika maisha yao ya ndoa. ❤️

“Aliyewaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.” 🙏

22/08/2026

*SASA NI RASMI⏰*

_Tamasha la Yesu ni Mwema (TYM)_
* 2026*

Address

Njombe
59101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kwaya ya Mt.Yudathadei Njombe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share