09/11/2025
MAOMBI.
Mathew 7:7-11.
7. Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa;
8. kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa.
9. Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe?
10. Au akiomba samaki, atampa nyoka?
11.Basi ikiwa ninyi, mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je! Si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa mema wao wamwombao?
1. Mungu anajibu maombi
2. We need to pray in this year of Glory.
3. Hatufanikiwi kwa bidii tu bali na kwa maombi.
4. Praying for your own business.
5. Praying for the world at large.
Maombi ni kumueleza Mungu haja za mioyo yetu na kutegemea msaada wake.
Maombi ni kujenga hoja mbele za Mungu.
๐ฅ Mungu ameahidi kuwa sikio lake sio zito hivyo hawezi shindwa kukusikiliza au kukusikia.
๐Ikitokea mtu haombi! Atapoteza haki zake za msingi.
๐Mungu hajibu hisia anajibu maombi.
(I receive the Spirit of Interceding)
๐ Utumishi sio cheo, ni wajibu.
๐ Jenga hoja kwa Mungu, usilie.
๐ Usikate tamaa, Mungu anapindua meza.
๐ตRehema Simfukwe - Anajibu Maombi.
Isaya 43:26
Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.
Put me in remembrance: let us plead together: declare thou, that thou mayest be justified.
1 Petro 5:7
Huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.
Casting all your care upon him; for he careth for you.
Wafilipi 4:6
Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
Be careful for nothing; but in every thing by prayer and supplication with thanksgiving let your requests be made known unto God.
1 Yohana 5:14-15
14. Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia.
15. Na k**a tukijua kwamba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba.