T.A.G Njombe Mjini

T.A.G Njombe Mjini You are welcome T.A.G Njombe town to worship thé living God in Spirit and trueth with inspiring word of God from our pastor !!!!!!

Nawatakia nyote wiki la Baraka la Pentekoste lenye nguvu na madhihirisho yaRoho Mtakatifu. Usipitwe na Baraka hizi za Ua...
22/05/2023

Nawatakia nyote wiki la Baraka la Pentekoste lenye nguvu na madhihirisho ya
Roho Mtakatifu. Usipitwe na Baraka hizi za Uamsho, Dhamiria kushiriki kwa shauku kubwa ya Kupokea...

Tanzania yote kwa Yesu: Neno la Mungu Baba Litahubiriwa:Tunakukaribisha kwa ajiri ya mkutano wa Neno la Mungu pale Natio...
08/06/2022

Tanzania yote kwa Yesu: Neno la Mungu Baba Litahubiriwa:
Tunakukaribisha kwa ajiri ya mkutano wa Neno la Mungu pale National Housing.
Tz kwanza 🇹🇿

Karibu T A G Njombe mjini kanisa lipo standi ya zamani, likiongozwa na Mchungaji, Askofu PHAYLOD NYAGAWA, mahali hapa  t...
01/05/2022

Karibu T A G Njombe mjini kanisa lipo standi ya zamani, likiongozwa na Mchungaji, Askofu PHAYLOD NYAGAWA, mahali hapa tunafundishwa kuishi maisha matakatifu, yanayopmendeza MUNGU, siku za ibada zetu Ni J tano saa Kumi na nusu, Ijumaa saa kumi na nusu, J pili ibada inaanza saa tatu kamili mpaka saa sita, na jioni J pili ibada inaanza saa kumi kamili mpaka saa kumi na mbili. Karibuni

"AMUA LEO KUMPA YESU MAISHA YAKO "

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Christopher Ole Sendeka Jana tarehe 17/06/2020 alikutana na uongozi wa Kanisa la TAG wa jimbo la...
18/06/2020

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Christopher Ole Sendeka Jana tarehe 17/06/2020 alikutana na uongozi wa Kanisa la TAG wa jimbo la Njombe Kusini. Msafara huo ulioongozwa na Askofu wa TAG PHAIROD NYAGAWA ulifika na kukutana na Mhe.Mkuu wa Mkoa na kufanya kikao kilichofanyika ofisini kwa Mkuu wa Mkoa.

Aidha Lengo za ziara hiyo ilikuwa ni viongozi hawa wa dini kuonyesha ushirikiano na Serikali kwa kupambana na janga la Corona, hivyo pamoja na mambo mengine uongozi wa Kanisa hili ulitoa mchango wa Tshs 2,000,000/- kwaajili ya kusaidia kununulia vifaa vya kujikinga na COVID 19 Mkoani Njombe.

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa aliwashukuru kwa ushirikiano huo na alitumia nafasi hiyo kueleza kazi kubwa iliyofanywa na Mhe.Rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli, ikiwa ni pamoja na kupambana na COVID 19.

Mhe.Mkuu wa Mkoa alitumia nafasi hiyo kuwataka maafisa elimu wahakikishe kuwa taratibu za kijikinga na COVID 19 nakwamba ziundwe kamati kwa kila shule.

KUTOKA KWA ASKOFU MKUU WA T. A. G TANZANIA
11/04/2020

KUTOKA KWA ASKOFU MKUU WA T. A. G TANZANIA

Bishop Mkuu anena juu ya Corona katika Maono ya Kibiblia.mTanzania mwezangu sasa Ni wakati wa kumrejea na kumbukumbuka M...
16/03/2020

Bishop Mkuu anena juu ya Corona katika Maono ya Kibiblia.
mTanzania mwezangu sasa Ni wakati wa kumrejea na kumbukumbuka Mungu wetu Muumbaji wa vyote.

Asante Yesu W.W.K sikukuu yenu  mmehitimisha salama.Hakika wanawake Ni jeshi kubwa na pasina wanawake Kanisa halijakamil...
16/03/2020

Asante Yesu W.W.K sikukuu yenu mmehitimisha salama.

Hakika wanawake Ni jeshi kubwa na pasina wanawake Kanisa halijakamilika.

Mungu awabariki Sana kwa zawadi kubwa na yenye kumbukizi katika Kazi ya Mungu wetu KUPITIA kwa Baba Askofu na Mchungaji wetu wa Kanisa la Pahali pamoja T. A. G. NJOMBE MJINI.

Mungu wetu anakaa katika Sifa na wenye SAUTI na TUPAZE SAUTI zetu kumuimbia Mungu Muumba WA Vyote.
29/05/2019

Mungu wetu anakaa katika Sifa na wenye SAUTI na TUPAZE SAUTI zetu kumuimbia Mungu Muumba WA Vyote.

Enendeni Ulimwenguni kote MKAIHUBIRI Injili kila aaminiye na kutubu ataokoka. T. A. G. NJOMBE MJINI inawakaribisha wanan...
29/05/2019

Enendeni Ulimwenguni kote MKAIHUBIRI Injili kila aaminiye na kutubu ataokoka.

T. A. G. NJOMBE MJINI inawakaribisha wananchi wote na wakazi WA Mkoa wa Njombe kwenye siku Saba za miujiza na uponya pamoja na kufunguliwa wenye vifungo mbalimbali pamoja na wenye magomjwa yasiyoeleweka, kwani Mungu ataenda kuwatumia Watumishi wake ili kuweza kuponya magonjwa na kutoa pepo za kila namna.

Mungu anaenda kuwatumia Watumishi wake Kwa nia ya kuwaweka watu wake.

Karibu Sana nyote pasina kukosa kwenye mkutano huu.

Address

Box 56
Njombe

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when T.A.G Njombe Mjini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share