Aldo Sanga Prayer Ministry

Aldo Sanga Prayer Ministry “Huduma ya maombezi na kuhubiri injili ya Yesu Kristo. Tunainua sauti ya maombi kwa ajili ya maisha

24/05/2026

Inawezekana umekata tamaa na huna suluhisho la kudumu ,karibu tunatoa ushauri na huduma za samadi ili kuleta tija katika kilimo

24/05/2026

Makete tumetishi sana Dc wetu Mh.Kissa Gwakissa Hongera sana

19/05/2026

Muarobaini wa patikana Makete

usiache kusema Amen
17/05/2026

usiache kusema Amen

Mungu ni Jibu
17/05/2026

Mungu ni Jibu

14/05/2026

Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Njombe,Mh.Rebeca Nsemwa Makete tunakuamini Njombe tumekuamini na Bunge linaimani kubwa kwako,Tunakuombea kila lenye heri katika kuwatumikia wananchi.
Karibu Makete.
Tarehe.17/05/2026 tunajambo letu.

14/05/2026

Inawezekana unapambana kurudisha shamba lako katika hali ya ubora na hujapata suluhisho Naam karibu tukusaidie kwa mbolea za asili samadi itakayotibu shamba lako sasa,tunapatikana Makete Njombe.

03/05/2026

Hapa kuna ujumbe mfupi kuhusu nguvu ya madhabahu pamoja na vifungu vya Biblia:

Ujumbe: Madhabahu ni mahali pa kukutana na Mungu, mahali pa sadaka, maombi, na uwepo wake. Kila mtu anahitaji kuwa na madhabahu—iwe ni ya binafsi au ya kifamilia—kwa sababu hapo ndipo nguvu ya kiroho huzaliwa. Madhabahu inapokuwa hai, maisha ya mtu hubadilika, maombi hujibiwa, na ulinzi wa Mungu hudhihirika. Lakini madhabahu ikizimika, hata maisha ya kiroho hupungua. Hivyo, linda na jenga madhabahu yako kila siku kwa maombi, Neno la Mungu, na ibada.

Vifungu vya Biblia:

Mwanzo 12:7–8 — Ibrahimu alimjengea Bwana madhabahu na kumwabudu.

1 Wafalme 18:30 — Eliya alitengeneza upya madhabahu ya Bwana iliyokuwa imebomoka.

Warumi 12:1 — Toeni miili yenu iwe sadaka iliyo hai.

Zaburi 141:2 — Maombi yangu yawe k**a uvumba mbele zako.

27/04/2026

karibu tujumuike tarehe 17 ya mwezi wa tano 2026 tukio litafanyika Makete mjini,

Moja kati ya kazi kubwa nilifanya ikanipa mashabiki wengi ni hii hapa ,unaweza kujua ni wap
27/04/2026

Moja kati ya kazi kubwa nilifanya ikanipa mashabiki wengi ni hii hapa ,unaweza kujua ni wap

Address

Box 06 Makete
Njombe
0303

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aldo Sanga Prayer Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share