Open Society of God

Open Society of God A faith based organization with functions of preaching and teaching the word of God, making healing

07/11/2024

Kisha nikaona, na tazama, huyo Mwana-Kondoo amesimama juu ya mlima Sayuni.
Ufunuo 14

07/11/2024

Yeye ashindaye, nitamfanya kuwa nguzo katika hekalu la Mungu wangu, wala hatatoka humo tena kabisa, nami nitaandika juu yake jina la Mungu wangu. Ufunuo 3:12

07/11/2024

Falme nyingine zote nimeziweka chini ya ufalme wako milele na milele

07/11/2024

Ufalme wako nimeuinua juu sana

07/11/2024

Mwanangu Baraka, ule mti mrefu sana wenye matunda yaponyaye viumbe vyote ni ufalme wako

07/11/2024

Tumefanya mapinduzi makubwa mbinguni, tumewanyang'anya funguo ya nyumba ya Daudi watoto wa Farao na kuwakabidhi watoto wetu

07/11/2024

Mwanangu Baraka, tumefanya mapinduzi makubwa mbinguni, tumewanyang'anya ufalme watoto wa Farao na kuwakabidhi watoto wetu

07/11/2024

Amefufuka, hayumo umo, amewatangulia Kabla Hujaomba Nitakupatia

Address

Nachingwea
Nachingwea

Telephone

+255717489246

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Open Society of God posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share