H.O.P Church Mwanza

H.O.P Church Mwanza Headquarters of Praise
√Kumsifu na kumwabudu MUNGU
√Kufunga na Kuomba
√Neno
√Kula chakula
LOVE❤️
Namba za kutoa sadaka yako.

Voda lipa 55618357-HOP CHURCH
0762122180
0627090848-DANIEL FAIDA

Karibu sana tuabudu pamoja 🙏
11/09/2026

Karibu sana tuabudu pamoja 🙏

06/09/2026
06/09/2026

Mwinjilisti ambaye Bwana amemchipua katika wiki hii ya kwanza kwa utumishi wa kanisa.
H.O.P Church Mwanza ni sehemu Mungu anatengeneza vyombo vyake.

Glory to God 🙏
06/09/2026

Glory to God 🙏

Tunakukaribisha sana mwana wa Mungu katika ibada hii ya kwanza kwa mwezi September 🔥🔥🔥
04/09/2026

Tunakukaribisha sana mwana wa Mungu katika ibada hii ya kwanza kwa mwezi September 🔥🔥🔥

Helow Happy new Month September ni mwezi wetu wa kuchipuka tena.Mungu akachipuze hiyo afya Yako Wala asiusahau uzao wako...
01/09/2026

Helow Happy new Month
September ni mwezi wetu wa kuchipuka tena.
Mungu akachipuze hiyo afya Yako Wala asiusahau uzao wako
Biashara na KAZI ya Niko Yako Wacha ikachipuke uchumi wako ukachipuke hata watu wajue Mungu uliyenaye.
Nakutamkia na kukutangazia September yetu imebarikiwa na kila chako kitachipuka tena hata k**a ulikuwa umekikatia tamaa.
Kwa jina la Yesu nenda ukachipuke.
Nimeomba katika JINA la YESU

Address

Mwanza
Mwanza

Telephone

+255762122180

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when H.O.P Church Mwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to H.O.P Church Mwanza:

Shortcuts

Share