Milele BONDE La Baraka Hq

Milele BONDE La Baraka Hq Milele Bonde la Baraka Tanzania
Kanisa lililoko Kishiri Mwanza, Tanzania. Mawasiliano
+255784859408

Happy Birthday BabaMore Wisdom and More Knowledge Servant of God
19/02/2026

Happy Birthday Baba
More Wisdom and More Knowledge Servant of God

Karibu Kwenye Mkesha Wa MaombiKaribu Milele Bonde la Baraka, Mahali pa Ibada na Maombi
13/02/2026

Karibu Kwenye Mkesha Wa Maombi
Karibu Milele Bonde la Baraka, Mahali pa Ibada na Maombi

11/02/2026
11/02/2026
11/02/2026

⛪ UJENZI UNAENDELEA – MILELE BONDE LA BARAKA TANZANIA

Tunajenga nyumba ya Bwana kwa imani, maombi, na mshikamano 🤍
Kila mchango wako ni mbegu ya baraka na ushuhuda wa upendo kwa kazi ya Mungu.

🙏 Tunakukaribisha:
• Uje kusali nasi
• Usimame nasi katika ujenzi huu
• Uchangie kadiri Bwana atakavyokuwezesha

💳 CHANGIA UJENZI
📱 M-PESA: 0752668434
🏦 CRDB BANK: 0152881022800
Jina la Akaunti: ELIYA JOSEPH DISMAS

📍 Kanisa linapatikana:
Tanzania – Mwanza
Kishili B, Mtaa wa Mahengera

👉 Tujenge pamoja, tusali pamoja, tumtukuze Mungu pamoja.
Asante kwa support yako 🙏⛪

11/02/2026

Karibu Uabudu Pamoja Nasi
Tunapatikana Mwanza Kishili B MTAA WA MAHENGERA
Rev.Dr.Eliya Joseph

Address

Kishiri Mwanza
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Milele BONDE La Baraka Hq posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share