11/02/2023
Tunaendelea na semina kwa wiki ya pili (05 hadi 17 February) hapa KKKT CATHEDRAL NJOMBE.
Kisha (19 hadi 26 February) tutakuwa KILIMANJARO.
Wajulishe waliopo na viunga vyake. Pia endelea kutuombe ili Bwana Ajitwalie Utukufu.
Mwl. Daniel Mwaitenga