FPCT Kangaye Majengo - Mwanza

FPCT Kangaye Majengo - Mwanza INJILI KAMILI YA KRISTO, LETE MAMILIONI YA WATU KWA KRISTO.

Tumekuwa na ibada nzuri na tumeona Mungu akituhudumia hapa FPCT Kangaye Majengo.Muhubili. Ndugu John lusendamiliSomo: NG...
14/01/2024

Tumekuwa na ibada nzuri na tumeona Mungu akituhudumia hapa FPCT Kangaye Majengo.

Muhubili. Ndugu John lusendamili
Somo: NGUVU YA KUMILIKI.
Mwanzo 1:28
Mathayo 17:26

14/01/2024

FPCT Kangaye Majengo Praise Team wakiliongoza kanisa katika kusifu katika ibada ya asubuh Leo jumapili 14/1/2024

Leo  ni Siku ya 10 tunaendelea na maombi ya FPCT kitaifa.Matendo 12:24 Neno la Bwana likazidi na kuenea.
12/01/2024

Leo ni Siku ya 10 tunaendelea na maombi ya FPCT kitaifa.
Matendo 12:24 Neno la Bwana likazidi na kuenea.

Tunaendelea na maombi ya kitaifa FPCT.. Leo ni siku ya 9 tukutane kanisan saa 10:30  jion tuitimishe pamoja ubarikiwe.
11/01/2024

Tunaendelea na maombi ya kitaifa FPCT.. Leo ni siku ya 9 tukutane kanisan saa 10:30 jion tuitimishe pamoja ubarikiwe.

Tunaendelea na maomb. Tukutane kanisan FPCT KANGAYE  sa  kumi na nusu jioni (10:30) tuitimishe pamoja kwa maombi.
10/01/2024

Tunaendelea na maomb. Tukutane kanisan FPCT KANGAYE sa kumi na nusu jioni (10:30) tuitimishe pamoja kwa maombi.

Siku ya 7. Tunaendelea na maombi ya kitaifa FPCT ya siku 40 za kufunga na kuomba.
09/01/2024

Siku ya 7. Tunaendelea na maombi ya kitaifa FPCT ya siku 40 za kufunga na kuomba.

Tunaendelea na maombi ya kufunga na kuomba Leo ni siku ya 3Hesabu 23:23 Hakika hapana uchawi juu ya yakobo, wala hapana ...
05/01/2024

Tunaendelea na maombi ya kufunga na kuomba Leo ni siku ya 3

Hesabu 23:23 Hakika hapana uchawi juu ya yakobo, wala hapana uganga juu ya Israeli. sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu!

1 Yoh 3:3 Na  kila mwenye matumaini haya katika yeye hujitakasa, k**a yeye alivyo mtakatifu.
04/01/2024

1 Yoh 3:3 Na kila mwenye matumaini haya katika yeye hujitakasa, k**a yeye alivyo mtakatifu.

Shalom mtu wa Mungu, Leo ni siku ya kwanza ya maombi ya siku 40. Karibun tushukuru na kuomba  pamoja.Zaburi 100:4  Ingie...
03/01/2024

Shalom mtu wa Mungu, Leo ni siku ya kwanza ya maombi ya siku 40. Karibun tushukuru na kuomba pamoja.

Zaburi 100:4 Ingien malangoni mwake kwa kushukuru, Nyuani mwake kwa kusifu, Mshukuruni, Lihimidin jina lake.

Hii si ya kukosa! WATU WOTE MNAKARIBISHWA
21/12/2023

Hii si ya kukosa! WATU WOTE MNAKARIBISHWA

Address

Kangaye Majengo
Mwanza

Telephone

+255767202011

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FPCT Kangaye Majengo - Mwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share