09/11/2023
HAKUNA VITA KUBWA DUNIANI K**A VITA YA "MOYO NA AKILI"
,,Watu wengi sana duniani Leo, wameshindwa kufikia hatma zao Kwa sababu ya hii vita Kali kwenye maisha yao, mara nyingi "MOYO" unaweza kunia jambo flani jema lakini "AKILI" ikakataa na kukuwazisha kuwa huwezi kufanikiwa na hauna sifa za kupata kitu hicho,
,,Lakini "AKILI" hiyo hiyo inaweza kutoa wazo zuri la kukupeleka kwenye mafanikio, "MOYO" ukakataa na kukutia hofu kwamba hilo wazo ukilichukulia hatua unaweza kufa,,,, kwahivyo watu wengi unao waona ujue Kuna vita inaendelea ndani Yao, siku ukiweza kuwafanya hawa wababe wawili wakawa kitu kimoja,
KUFANIKIWA NI LAZIMA MAISHANI MWAKO.