Jesus Christ saviour of the World

Jesus Christ saviour of the World "Change life of peope by known Jesus as LORD of lords, KING of kings and is a way of salvation.peopl

31/10/2017

Maombi yanabadilisha mambo mengi,nikwamaombi tunashinda.hiki yesu alisema msijisumbue kwa neno lolote, bali katika neno kwa kusali na kuomba....."

25/09/2017
14/05/2016

Mungu hawahi wala hachelewi endelea kusubiri huku ukiomba.

Katika maisha kuna vingi unapitia vingine vinatesa,vinaumiza,vinasikitisha, vinatoa maswali  mengi magumu ya kujiuliza n...
06/12/2015

Katika maisha kuna vingi unapitia vingine vinatesa,vinaumiza,vinasikitisha, vinatoa maswali mengi magumu ya kujiuliza na hata huna muda wa kupumzika,Usikate tamaa amini kuna Mungu anayeyaona unayopitia Yesu kristo, na kuanza sasa uondelee na hayo yote na uepeshwe na mabaya yote yanayokujilia,Elisha isanzu.

10/11/2015

"Yesu alisema sitawaacha na hili ndo jambo hawezi kulifanya, endelea kuamini yuko pamoja na wewe usisitesite"

04/11/2015

Jinsi gani Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee ili kila amwanie apate kuurithi uzima wa milele,jinsi gani Mungu alivyoumia kutoa msaidizidi (Roho mtakatifu) hata atakayekufuru hataingia katika uzima wa milele,usikate tamaa kumtafuta Yesu anakupenda,anakuhurumia na mapito unayopitia ipo siku ya furaha katika maisha yako,Mungu akutetee katika yote unayopitia.

24/10/2015

Kuokoka ni kumkiri yesu kuwa BWANA na mwokozi,ni kuvishwa uwezo wa kuingia mbinguni,ni kufisha viungo vilivyo katika nchi,uasherati,uchafu,tamaa mbaya,mawazo mabaya,na kutamani,ndiyo ibada ya sanamu ambazo unaenenda nazo,lakini sasa uyaweke mbali haya yote,hasira,na ghadhabu na uovu namatukano na matusi vinywani mweko,msiambiane uongo,sasa uvae utu mpya unaofanya upya upate ufahamu sawasawa na mfano wake yeye aliyeuumba.

Address

Mwanza
35091

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jesus Christ saviour of the World posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Jesus Christ saviour of the World:

Share