Mwanza in Christ

Mwanza in Christ Lengo la page ni kwa ajili ya wakazi wote wa Mwanza kujulishana Semina,Mikutano, Live rec & Matamasha

Wote tunakutana Hapa leo 24 Dec Kulitukuza Jina la Bwana wetu Yesu kristo patakuwa hapatoshi kabisa hii usipange kabisa ...
24/12/2023

Wote tunakutana Hapa leo 24 Dec Kulitukuza Jina la Bwana wetu Yesu kristo patakuwa hapatoshi kabisa hii usipange kabisa kukosa..




Enyi wakazi wa Mwanza pamoja na viunga vyake, Hii ibada ni kesho jaman, hakikisha haukosi kabisa, mkaribishe na ndugu, r...
23/12/2023

Enyi wakazi wa Mwanza pamoja na viunga vyake, Hii ibada ni kesho jaman, hakikisha haukosi kabisa, mkaribishe na ndugu, rafiki na jamaa yako ili sote kwa pamoja tuje tumtukuze Huyu Mungu wetu!

SEMINAR MWANZAMkazi wa Mwanza na miji jirani ni wakati wa kumaliza mwaka kwa ushindiTunapenda kukukaribisha sana katika ...
21/12/2023

SEMINAR MWANZA

Mkazi wa Mwanza na miji jirani ni wakati wa kumaliza mwaka kwa ushindi

Tunapenda kukukaribisha sana katika Semina hii itakayofanyika kwa siku 3 pale Aspen Hotel kuanzia tarehe 22 hadi 24/12/2023 saa kumi kamili jioni. Ni siku tatu zenye nguvu sana, ni siku tatu za kupata maarifa ya Mungu, ni siku tatu za kufunguliwa!

Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando atafundisha pamoja na kufanya maombezi pia, tunajua na kuamini kabisa kuwa Mungu atakuvusha na kukuinua katika viwango vingine.

Semina pia itarushwa Live kupitia ukurasa wa YouTube wenye jina PASTOR SUNBELLA KYANDO na kupitia ROC TV, King'amuzi cha Startimes Antenna, channel number 451.

Karibu sana na Mungu akubariki.





19/12/2023


Katika Ibada ya  ,Tutakuwa na watumishi wa Mungu  ⏱️Stay connected ni kesho tu.Mungu akubariki Sana.  🇹🇿MWANZA    gladne...
14/12/2023

Katika Ibada ya ,
Tutakuwa na watumishi wa Mungu
⏱️Stay connected ni kesho tu.
Mungu akubariki Sana.

🇹🇿MWANZA
gladnesssiyame_official

Katika Ibada ya  ,Tutakuwa na mtumishi wa Mungu minister ⏱️Stay connected ni kesho tu.Mungu akubariki Sana.  🇹🇿MWANZA   ...
14/12/2023

Katika Ibada ya ,
Tutakuwa na mtumishi wa Mungu minister
⏱️Stay connected ni kesho tu.
Mungu akubariki Sana.

🇹🇿MWANZA
gladnesssiyame_official

Katika  ,Tutakuwa na mtumishi wa Mungu minister Wote tunakutana Hapa tarehe 24 Dec Kulitukuza Jina la Bwana wetu Yesu kr...
13/12/2023

Katika ,
Tutakuwa na mtumishi wa Mungu minister
Wote tunakutana Hapa tarehe 24 Dec Kulitukuza Jina la Bwana wetu Yesu kristo patakuwa hapatoshi kabisa hii usipange kabisa kukosa..




Katika  ,Tutakuwa na watumishi wa Mungu   wakituhudumia.Wote tunakutana Hapa tarehe 24 Dec Kulitukuza Jina la Bwana wetu...
12/12/2023

Katika ,
Tutakuwa na watumishi wa Mungu wakituhudumia.
Wote tunakutana Hapa tarehe 24 Dec Kulitukuza Jina la Bwana wetu Yesu kristo.




Katika  ,Tutakuwa na mtumishi wa Mungu minister .gladnesssiyame_officialWote tunakutana Hapa tarehe 24 Dec Kulitukuza Ji...
12/12/2023

Katika ,
Tutakuwa na mtumishi wa Mungu minister .gladnesssiyame_official
Wote tunakutana Hapa tarehe 24 Dec Kulitukuza Jina la Bwana wetu Yesu kristo patakuwa hapatoshi kabisa hii usipange kabisa kukosa..




Katika Ibada ya  ,Tutakuwa na mtumishi wa Mungu minister ⏱️Stay connected tumebakiwa na siku chache mno.Mungu akubariki ...
12/12/2023

Katika Ibada ya ,
Tutakuwa na mtumishi wa Mungu minister
⏱️Stay connected tumebakiwa na siku chache mno.
Mungu akubariki Sana.

🇹🇿MWANZA
gladnesssiyame_official

Address

MWANZA CITY
Mwanza

Telephone

+255784404008

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanza in Christ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mwanza in Christ:

Share