Evangelical Holy Pentecostal Church of Tanzania

Evangelical Holy Pentecostal Church of Tanzania Evangelical Holy Pentecostal Church of Tanzania is Evangelical and Pentecostal church found in Tanzan

KESHO, JUMAPILIIkiwa unataka kufika kanisani, wasiliana nasi +255625775243
23/05/2026

KESHO, JUMAPILI

Ikiwa unataka kufika kanisani, wasiliana nasi +255625775243

Mathayo 19:14-1514. Lakini Yesu akasema, Waacheni watoto wadogo waje kwangu; wala msiwazuie; kwa maana walio mfano wa ha...
17/05/2026

Mathayo 19:14-15

14. Lakini Yesu akasema, Waacheni watoto wadogo waje kwangu; wala msiwazuie; kwa maana walio mfano wa hao, ufalme wa mbinguni ni wao.

15. Akaweka mikono yake juu yao, akatoka huko.

06/05/2026
NI IJUMAA YA WIKI HII
05/05/2026

NI IJUMAA YA WIKI HII

Mambo ya walawi 25:19Nayo nchi itazaa matunda yake, nanyi mtakula na kushiba, na kuketi humo salama. --------------- The...
04/05/2026

Mambo ya walawi 25:19

Nayo nchi itazaa matunda yake, nanyi mtakula na kushiba, na kuketi humo salama.

---------------
Then the land will yield its fruit, and you will eat your fill, and dwell there in safety.

Mathayo 4:4Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mun...
04/05/2026

Mathayo 4:4
Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
---------------

But He answered and said, "It is written, 'Man shall not live by bread alone, but by every word that proceeds from the mouth of God.' "

Isaya 41:10. usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, ...
04/05/2026

Isaya 41:10. usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.

---------------
Fear not, for I am with you; Be not dismayed, for I am your God. I will strengthen you, Yes, I will help you, I will uphold you with My righteous right hand.'

HUDUMA ZA KIJAMII GEREZA LA BUTIMBA JIJINI MWANZA
02/05/2026

HUDUMA ZA KIJAMII GEREZA LA BUTIMBA JIJINI MWANZA

Address

Kahama/Buswelu
Mwanza

Telephone

+255767955334

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Evangelical Holy Pentecostal Church of Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Evangelical Holy Pentecostal Church of Tanzania:

Share