Tayomi - Mwanza Central District

Tayomi - Mwanza Central District TAYOMI is the pentecostal non government organization that focus on Chaging the Life of the Youths to Change the World.

Officially TAYOMI Mwanza Centre District page for various information, programs, events projects running by TAYOMI and its strategies such as CASFETA, EEMC, BCF, AND OTHER in accomplishing of the Vision It implement its vision through various strategies for each intended group to be reached and impacted. CASFETA for secondary and high school students, colleagues and universities scholars, BCF for the primary school and street kids, EEMC for ethics and education programs, and etc.

17/06/2026
Mungu alitupa Neema na kibali cha kumfanyia ibada ya pamoja Wilaya ya Mwanza Mjini Kati 7/6/2026Ambapo wanachama kutoka ...
11/06/2026

Mungu alitupa Neema na kibali cha kumfanyia ibada ya pamoja Wilaya ya Mwanza Mjini Kati 7/6/2026
Ambapo wanachama kutoka matawi ya vyuo, na Kidato cha Nne walikuja pamoja kumwabudu Mungu, kumsifu, kujifunza na kujengwa katika utumishi.
Tunambariki Mungu kwa ajili ya Neno la Mungu kutoka kwa Mratibu wetu wa Mkoa Pastor Erasto Joel KUWA WANAFUNZI WA YESU KRISTO
Tanzania Youth Ministries-TAYOMI
Jesus is Lord and saviour

Change the Life of the Youth, To Change the World
11/06/2026

Change the Life of the Youth, To Change the World

Jointmass ya wilaya Mwanza Central7/3/2026 katika Chuo cha Afya Tandabui Polytechnic Buzuruga.Tunamshukuru Mungu kwa nee...
24/03/2026

Jointmass ya wilaya Mwanza Central
7/3/2026 katika Chuo cha Afya Tandabui Polytechnic Buzuruga.
Tunamshukuru Mungu kwa neema na rehema zake kuu kutusaidia kumfanyia Ibada hii.
Wanafunzi kutoka shule za msingi, sekondari zote na vyuoni.
Masomo ya Nafasi ya Roho Mtakatifu na Kufanikiwa Kielimu yalifundishwa.
To God be the glory and honor
"Change the Life of the Youth to Change the World"

Tanzania Youth Ministries-TAYOMIHere in the Great Commission mission...
24/03/2026

Tanzania Youth Ministries-TAYOMI
Here in the Great Commission mission...

Ibada ya shukrani na Mahafali ya kidato cha sita mwaka 2026. Wilaya za Ilemela na Mwanza Central iliyofanyika katika uku...
05/03/2026

Ibada ya shukrani na Mahafali ya kidato cha sita mwaka 2026. Wilaya za Ilemela na Mwanza Central iliyofanyika katika ukumbi wa Kanisa la Tanzania Field of Evangelism (KWA NEEMA)
28/2/2026. Mungu ni mwema na mwaminifu alifanya kwa ajili ya utukufu wa Jina lake.
Hongereni wahitimu wote. Mungu awape neema na kibali kwa hatua inayofuata.
"Change the Life of the Youth to Change the World"

JOINT AND WELCOME FIRST YEAR. MMWANZA CENTRAL DISTRICTTunambariki Mungu kwa wema na fadhili zake ametuwezesha kuwa na Ib...
27/01/2026

JOINT AND WELCOME FIRST YEAR. MMWANZA CENTRAL DISTRICT
Tunambariki Mungu kwa wema na fadhili zake ametuwezesha kuwa na Ibada ya pamoja ya wanachama wa CASFETA Tanzania Youth Ministries-TAYOMI vyuo vilivyomo ndani ya wilaya ya KIHUDUMA MWANZA CENTRAL. 18/1/2026 katika Chuo cha Afya Excellent. Mwanza.
Kwa pamoja wanachama kutoka vyuo vya CUHAS&MWACHAS BUGANDO, CBE MWANZA, EXCELLENT, TANDABUI NA WESLEY wameshiriki.
Pamoja na kuwa na Ibada ya pamoja pia tumewakaribisha wanafunzi waliojiunga na vyuo hivyo mwaka huu mpya wa Masomo 2025/6.
Neema ya Mungu iwasaidayo wanadamu wote iwe pamoja na kila mmoja wetu.
"Change the Life of the Youth to Change the World"

Address

Mail Bag 2783
Mwanza
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 16:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tayomi - Mwanza Central District posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Tayomi - Mwanza Central District:

Shortcuts

Share