NPCC WOrdwide

NPCC WOrdwide Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from NPCC WOrdwide, Religious Center, P. O Box 1463, Mwanza.

Nyanza Pentecostal Worldwide NPCC mahali pa kufundishwa neno la imani na kustawi katika maisha, pia ukifundishwa kuomba maombi yanayojibiwa na Mungu, sifa na kuabudu maombi na maombezi Yesu anaweza.

Tunaendelea na semina ya MWANAMKE WA THAMANI NPCC VOIL -IGOGO Na pst Barabara
09/04/2022

Tunaendelea na semina ya MWANAMKE WA THAMANI NPCC VOIL -IGOGO Na pst Barabara

09/04/2022

Mwanamke wa thamani Semina inaendelea hapa nyanza pentecostal voil igogo- karibu na soko jipya la makoroboi

06/04/2022

Jumapili hii tarehe 10 April 2022 karibu Nyanza pentecostal Christian Centre. Uje ujifunze kushinda kutupa kwa Mimba

Send a message to learn more

Hosea 4:6 watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Watu wengi wamekaa kwenye utasa na kwenye mambo yao yamedumaa sio k...
31/03/2022

Hosea 4:6 watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Watu wengi wamekaa kwenye utasa na kwenye mambo yao yamedumaa sio kwa sababu hawana pesa za mitaji ni kwa sababu hawana maarifa. Karibu NPCC update maarifa na neno la imagine litakalo kufanya ustawi.

Kila kitu kwenye ufalme wa Mungu kina misingi katika jukwaa la upendo.hii humaanisha hakuna kitu kitaenda passport upend...
31/03/2022

Kila kitu kwenye ufalme wa Mungu kina misingi katika jukwaa la upendo.hii humaanisha hakuna kitu kitaenda passport upendo hasa upendo juu Ya Mungu na Majirani zetu. 1wakorintho 13:2

Address

P. O Box 1463
Mwanza

Telephone

+255755549113

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NPCC WOrdwide posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share