EAGT mandela church

EAGT mandela church Evangelistic assemblies of God Tanzania

And he said to them, Go you into all the world, and preach the gospel to every creature.MARK 16:15
06/06/2022

And he said to them, Go you into all the world, and preach the gospel to every creature.

MARK 16:15

18/02/2022

Nimemuona MUNGU akiokoa kupitia Injili ya mtaa kwa mtaa Bariadi mjini.. Hakika Utukufu na Uweza vina yeye milele na milele.AminaπŸ‘πŸ‘

YESU KRISTO akihubiliwa katika viwanja vya kanisa la E.A.G.T Maswa(simiyu)..Tumemuona Mungu akiponya na kuokoa!
09/09/2021

YESU KRISTO akihubiliwa katika viwanja vya kanisa la E.A.G.T Maswa(simiyu)..Tumemuona Mungu akiponya na kuokoa!

09/09/2021

YESU KRISTO ni yeye yule Jana,Leo na hata Milele.πŸ‘πŸ‘

Watu wa kanisa la EAGT kahama Mwanza Mungu awabariki sana kwa ushirikiano na mshikamo katika kuihubiri Injili ya Ufalme ...
30/12/2020

Watu wa kanisa la EAGT kahama Mwanza Mungu awabariki sana kwa ushirikiano na mshikamo katika kuihubiri Injili ya Ufalme wa Mungu πŸ‘πŸ‘.

Zilikuwa ni siku nane(8) za mkutano wa Injili, za Matendo makuu ya Mungu katika viwanja vya kanisa la EAGT Buswelu Mwanz...
30/12/2020

Zilikuwa ni siku nane(8) za mkutano wa Injili, za Matendo makuu ya Mungu katika viwanja vya kanisa la EAGT Buswelu Mwanza.
Watu waliokolewa na kuponywa kutoka katika vifungo na Bwana Yesu kristo!

Ilikuwa ni siku njema kwa wapendwa wetu kutimiza haki yote(kubatizwa) katika kanisa la EAGT Bugando Mwanza,Mungu awabari...
24/11/2020

Ilikuwa ni siku njema kwa wapendwa wetu kutimiza haki yote(kubatizwa) katika kanisa la EAGT Bugando Mwanza,Mungu awabariki kwa kutimiza haki yote!

Leo ilikuwa ni siku ya Ubatizo kwa waamini kutoka kanisa la EAGT Mandela Mwanza.
21/11/2020

Leo ilikuwa ni siku ya Ubatizo kwa waamini kutoka kanisa la EAGT Mandela Mwanza.

Ulikuwa ni mkutano wa Injili katika kanisa la EAGT Mandela Igoma(Mwanza)
17/11/2020

Ulikuwa ni mkutano wa Injili katika kanisa la EAGT Mandela Igoma(Mwanza)

17/11/2020

Yesu kristo ndiye Bwana na Mwokozi wa maisha yetu.AminaaπŸ‘πŸ‘

Address

Mwanza

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAGT mandela church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to EAGT mandela church:

Share