Kyaruzi Tz

Kyaruzi Tz If you don't have an alternative don't criticise

04/06/2026

Kila jicho litamuona.

Kyaruzi Tz Noela Kyaruzi Kyaruzi Tz

SALA YA LEO,
04/06/2026

SALA YA LEO,

04/06/2026

Matendo ya Mitume 17:26
[26]Naye alifanya kila taifa la wanadamu kutoka katika mmoja, wakae juu ya uso wa nchi yote, akiisha kuwawekea nyakati alizoziamuru tangu zamani, na mipaka ya makazi yao;

Kyaruzi Tz Noela Kyaruzi Kyaruzi Tz

04/06/2026

Thamani ya umri na maisha ya ujana.

Kyaruzi Tz Noela Kyaruzi Kyaruzi Tz

SALA YA USIKU, Zaburi 150:1[1]Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake.     Kya...
03/06/2026

SALA YA USIKU,
Zaburi 150:1
[1]Haleluya.
Msifuni Mungu katika patakatifu pake;
Msifuni katika anga la uweza wake.
Kyaruzi Tz Kyaruzi Tz Noela Kyaruzi

03/06/2026

Bado lipo tumaini, ENDELEA KUMWAMINI MUNGU.

Kyaruzi Tz Noela Kyaruzi Kyaruzi Tz

🙏💙 SALA YA LEO 💙🙏Baba wa Mbinguni, tunakushukuru kwa zawadi ya uhai na pumzi ya leo. Tunakabidhi familia zetu, kazi zetu...
03/06/2026

🙏💙 SALA YA LEO 💙🙏

Baba wa Mbinguni, tunakushukuru kwa zawadi ya uhai na pumzi ya leo. Tunakabidhi familia zetu, kazi zetu, masomo yetu, biashara zetu na huduma zetu mikononi mwako. Utuongoze katika kila hatua, utulinde dhidi ya mabaya, na utujalie hekima ya kufanya yaliyo mema mbele zako.

📖 “Kwa kuwa BWANA ndiye mwema; rehema zake ni za milele; na uaminifu wake vizazi na vizazi.” — Zaburi 100:5

Mungu akubariki, akupe amani, nguvu na mafanikio katika kila jambo utakalolifanya leo. Amen. 🙏✨

03/06/2026

Usikubali kununua ugomvi wa mtu mwingine.

Kyaruzi Tz Noela Kyaruzi Kyaruzi Tz

03/06/2026

Ikifika saa ya kuondoka, Je utakuwa upo tayari...?

Kyaruzi Tz Noela Kyaruzi Kyaruzi Tz

Address

RUSUMO
Mwanza
00000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kyaruzi Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kyaruzi Tz:

Share