28/07/2026
Asanteni sana kwa kuungana nasi katika ibada ya leo. 🙏❤️ Tunaamini Mungu amenena nanyi na kuwabariki kwa namna ya kipekee. Tuendelee kukua katika imani na tukutane tena ibadani ijayo. Mungu awabariki sana! ✨