Ebenezer Youth International Ministry

Ebenezer Youth International Ministry REVEALING Christ. RAISING a Godly GENERATION. EMPOWERING lives through the WORD, PRAYER, and SPIRITUAL AWAKENING.

Welcome to EYIM Ministry; A Platform of TRUTH, REVIVAL, and DESTINY.” Youth Evangelism and Discipling Program to all Nations

25/08/2026

Faith is the Hand 🤲 That Receives God's Promises In the Spiritual Realm

Imani ni Mkono, ambao unapokea Ahadi za Mungu katika ulimwengu wa roho. Tazama hii... 🔥
Ebenezer Youth International Ministry Noel Godwin

24/08/2026

Kuishi maisha ya ushindi na kuudhihirisha ushindi katika uhalisia wa maisha, kunategemea Imani isiyoyumbishwa (Unshakable Faith).
Sasa hii Imani ni nini?
Fuatilia vizuri video hii ya sekunde 97
Ebenezer Youth International Ministry Noel Godwin

21/08/2026

Tujikumbushe kidogo juu ya kanuni za kuishi maisha ya ushindi k**a mwamini hapa duniani.

15/08/2026

Unaweza kupokea Mkakati wa Kiungu katika jambo fulani lenye kuujenga ufalme wa Mungu kupitia maombi.
Godwin

15/08/2026

Hii nyenzo ni muhimu Sana ili kupokea mkakati wa Kiungu. Tazama Sasa.........

09/08/2026

Watch About David and Goliath.
Unajua Gideon alimwangusha Goliath kwa Mkakati wa Kiungu?
Kuna jambo lipo mbele yako linakutatiza kana kwamba ni lijitu k**a Goliath?
Tafuta tu Mkakati wa kulitatua kutoka kwa Mungu, utashinda.

08/08/2026

Joshua 6:1-5
Read it and See How God Gives Strategies

My self, I believe on Divine Strategies.

05/08/2026

Je! Unajua kuwa unahitaji mikakati ya kiungu, ili kukamilisha Maono uliyonayo yatokanayo na kusudi la Mungu?
Hakuna aliyetumia mkakati wa Mungu Kisha akashindwa kupata ushindi.
Kuishi maisha ya ushindi hapa duniani, unahitaji Mikakati ya Mungu.

03/08/2026

WATUMISHI NJOO UJENGWE KWA NENO NA KUPATA UAMBUKIZO WA NEEMA YA KUKUPELEKA MBLE KATIKA UTUMISHI WAKO.

Mithali (Pro) 27:17 Chuma hunoa chuma; Ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake./Iron sharpeneth iron; so a man sharpeneth the countenance of his friend.

JIANDIKISHE/REGISTER.

03/08/2026

Divine Strategies
Mara nyingi, waamini inakuwa ni changamoto kufanikisha majukumu ya Kifalme, kwasababu wanatumia mikakati ya kwao kukamilisha majukumu hayo na si mikakati ya Mungu aliye wapa majukumu hayo.
Je! Unaishi ukitimiza kusudi la maisha yako hapa Duniani? Je ni mkakati/mikakati ipi unaitumia kukamilisha kusudi Hilo? Na ni kipi Chanzo cha mikakati unayoitumia?

Address

KISEKE B
Mwanza

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255710267598

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ebenezer Youth International Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Ebenezer Youth International Ministry:

Share