EAGT Ukumbusho Buguku

EAGT Ukumbusho Buguku EAGT Ukumbusho ni kanisa la kipentekoste linalo ongozwa na mchungaji kiongozi Elibariki Shungula lililopo Mwanza wilaya ya nyamagana mtaa wa Mkolani -Buguku.

16/12/2025

USIOGOPE
MUNGU YUKO UPANDE WAKO

10/12/2025
10/12/2025

Sifa na utukufu kwa Mungu! 🎢πŸ”₯
Waimbaji wetu wa sifa wanatuandaa kwa ibada ya kipekee Jumapili ijayo.
Usikose ibada ya Jumapili – inaanza saa 2:00 asubuhi kamili!
Karibu uabudu pamoja nasi na kushuhudia nguvu ya Mungu.
πŸ“ EAGT Ukumbusho – Mkolani, Buguku
πŸ•˜ Jumapili | Saa 2:00 asubuhi
πŸ‘€ Mchungaji: Elibariki Shungula

10/12/2025

Wakati wa kumtukuza Mungu ubosi wote kando kwasababu hakuna anaestahili sifa za mioyo yetu ila Mungu pekeyake.
TUKUTANE JUMAPILI #

Karibu Kanisa la EAGT Ukumbusho!Tupo Mwanza, Kata ya Mkolani – Mtaa wa Buguku, tukiongozwa na Mchungaji Elibariki Shungu...
10/12/2025

Karibu Kanisa la EAGT Ukumbusho!
Tupo Mwanza, Kata ya Mkolani – Mtaa wa Buguku, tukiongozwa na Mchungaji Elibariki Shungula.
Hapa ni mahali pa kuinuliwa kiroho, kukutana na upendo wa Mungu, na kujengwa katika Neno la Kristo.
Tunakaribisha kila mtu kuungana nasi katika ibada, maombi na huduma mbalimbali.
β›ͺ EAGT Ukumbusho – TUNAANZA NA BWANA TUNAMALIZA NA BWANA TUKIMTAZAMA YESU
MWENYE KUANZISHA IMANI YETU.
πŸ“ Mkolani, Buguku – Mwanza
πŸ‘€ Mchungaji: Elibariki Shungula

07/DECTUKUTANE EAGT UKUMBUSHO BUGUKU
01/12/2025

07/DEC
TUKUTANE EAGT UKUMBUSHO BUGUKU

MUNGU aende kukuonekania katika kazi za mikono yako na MUNGU WA MBINGUNI AWABARIKI
21/05/2023

MUNGU aende kukuonekania katika kazi za mikono yako na MUNGU WA MBINGUNI AWABARIKI

Kipindi cha neno.Mnenaji: Mch ELIBARIKI SHUNGULA.SOMO: VITA VYA KIROHOO.Maandiko ya somo: waefeso 6:10-18;Vita: ni mapig...
14/05/2023

Kipindi cha neno.
Mnenaji: Mch ELIBARIKI SHUNGULA.
SOMO: VITA VYA KIROHOO.
Maandiko ya somo: waefeso 6:10-18;

Vita: ni mapigano ya pande mbili.
Vita vya kiroho: Ni mapigano ya ulimwengu wa kirohoo baina ya pande mbili.

SILAHA AMBAZO MKRISTO UNATAKIWA KUWA NAZO.
1) kweli kiunoni.
Bidii ya kumtafuta Bwana .

2) Dini ya haki kifuani.
Mkristo uwe na haki mbele za Bwana ata adui anapo kuja anakukuta upo kamili mbele za BWANA. Ufunuo 9:5-11;

3) kufungiwa mguu utayari tupatao kwa injili ya imani. warumi 1:14-16; wafilipi 1:27-30
2 wakorintho 10:3

4) chepeo ya wokovu.
5) Upanga wa roho
Ambao ni neno la MUNGU.
Mkristo ni lazima ulijue neno la MUNGU moyoni mwako ili uweze kumshinda adui.

6) Kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati kwa roho mtakatifu.
7) kuombeana. Waefeso 2:2

14/05/2023

Mchungaji wa kanisa la Eagt ukumbusho anapenda kukukaribisha katika ibada ya jumapili Tarehe 14.05.2023. Na MUNGU wa mbinguni akubariki sana. Pia tutakuwa live wakati wa mahubiri Usikose kufatilia

Address

Buguku
Mwanza
UKUMBUSHO

Telephone

+255752298100

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAGT Ukumbusho Buguku posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category