Rehoboth Deliverance Center Mwanza

Rehoboth Deliverance Center Mwanza Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rehoboth Deliverance Center Mwanza, Religious organisation, Buswelu mwanza, Mwanza.

Mungu akubariki Sana.karibu Rehoboth Deliverance center mwanza upate huduma ya Neno la Mungu,Maombi na Maombezi Tunapatikana Buswelu kituo Cha kahama nyuma ya Godauni.Karibu sana

01/01/2023

I wish you happy new year 2023.the year of prosperity in all of your Area.Joshua 1:5-7

Zekaria 2:5 kwa maana Mimi asema Bwana nitakua ukuta wa moto kuzunguka pande zote NAMI nitakua huo utukufu ndani yake.Na...
26/04/2022

Zekaria 2:5 kwa maana Mimi asema Bwana nitakua ukuta wa moto kuzunguka pande zote NAMI nitakua huo utukufu ndani yake.Nasema na wewe unae soma ujumbe huu.Usiogope mapito unayopia Bwana wa Majeshi ni nguzo ya moto kwako amekuzunguka pande zote utatoka salama Hilo jaribu haliwezi kuhimili moto wa Bwana.Utauona utukufu wa Bwana pokea siku ya ushindi katika Jina la Yesu.

Rehoboth Deliverance center Mwz tunakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya kinabii kesho j.pili.Yoel 2:25.Nami nitawarudishia...
23/04/2022

Rehoboth Deliverance center Mwz tunakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya kinabii kesho j.pili.Yoel 2:25.Nami nitawarudishia myaka yote iliyo liwa na nzige na parare na madumadu na tunutu,jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.Nabii wa Mungu yupo tayar kukuhudumia,nguvu ya ufunuo itarudisha vyote ulivyopoteza.usipange kukosa hii inakuhusu wewe.

2Wafalme 7:3-7.Habari hii ya wakoma wanne,ikupe nguvu siku ya Leo.Inawezekana unapita mahala pagumu hauoni njia.Nataka n...
14/04/2022

2Wafalme 7:3-7.Habari hii ya wakoma wanne,ikupe nguvu siku ya Leo.Inawezekana unapita mahala pagumu hauoni njia.Nataka nikutie moyo chukua hatua k**a wale wakoma, usiogope jeshi,usiogope maneno,usiogope chochote.Mungu aliye hai atawasikilizisha adui zako sauti za vifaru vya vita wewe chukua hatua watakimbia mbele zako na jaribu lako litakuwa limepita.Pokea Neema ya chukua hatua kwa Jina la Yesu.

13/04/2022

Isaya53:4, Hakika ameyachukua masikitiko yetu.Amejitwika huzuni zetu.

Address

Buswelu Mwanza
Mwanza

Telephone

+255742195171

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rehoboth Deliverance Center Mwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Rehoboth Deliverance Center Mwanza:

Share