Christ.alonetheliving hope

Christ.alonetheliving hope God bless you all.

Lengo kuu nikuueneza ukweli wa neno la MUNGU bila kujali Mambo yanayo endelea ,utapata kujifunza vitu mbalimbali vitakavyo kusaidia kufika hatua aliyokukusudia MUNGU .

Let God be your joy
13/04/2026

Let God be your joy

16/03/2026

Penda kutenda haki utamwona MUNGU.

Si vyema kukata tamaa, tambua kuwa Mungu yupo upqnde wako siku zote. He always loves you.  He is the only hope a man can...
14/02/2026

Si vyema kukata tamaa, tambua kuwa Mungu yupo upqnde wako siku zote. He always loves you.
He is the only hope a man can trust.

13/02/2026

Lazima uwetayari MUNGU akugharamikie, lasivyo utashindwa pambano

14/01/2026

Jitahidi usimkose MUNGU.
1 samwel 2; 22 _ 25

12/01/2026

Yesu ndiye njia kweli na uzima

04/01/2026

Heri wenye njaa na kiu ya haki

Love, humanity
16/09/2025

Love, humanity

09/09/2025

Pauli,
Christ Alone The living Hope

Injili inahubiriwa wasiomjua Mungu waje kwake wamjue, wakae kwake. Waliokwisha kumjua wasimwache. Christ Alone The livin...
02/08/2025

Injili inahubiriwa wasiomjua Mungu waje kwake wamjue, wakae kwake.

Waliokwisha kumjua wasimwache.
Christ Alone The living Hope Tumaini la wakovu tumwone Mungu.

Mungu hajabadirika.
23/07/2025

Mungu hajabadirika.

Kitu pekee ninacho ogopa Sana juu ya Mungu ni vile asivyoweza kubadilisha neno alilolinena. Mtu mmoja mashuhuri Sana Mus...
14/07/2025

Kitu pekee ninacho ogopa Sana juu ya Mungu ni vile asivyoweza kubadilisha neno alilolinena.

Mtu mmoja mashuhuri Sana Musa aliyetembea na Mungu kwa isivyokawaida mpaka Mungu ana msifu , anasema kwa Musa uso wa Mungu atauona. Lakini Cha kushantaza Musa sikuile alimkasirisha Mungu ndio siku aliambiwa utaionatu hionchi ninayoenda kuwapa Ila hutaingia humo. 🙄 Kumb 1:37,Hesabu 27:14,kumbe 32:51.

Jamani Mungu hajabadirika ebr 13:8.
Apandacho mtu ndicho atakacho vuna Galatia 6:7
Ukiamua kumtumikia Mungu mtakatifu acha konakona 2 Timotheo2:19.

Address

Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Christ.alonetheliving hope posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Christ.alonetheliving hope:

Share