ECG Church Mtwara Branch

ECG Church Mtwara Branch Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ECG Church Mtwara Branch, Religious organisation, Kanisa letu lipo Mtaa wa Ligula Coco Beach katika ukumbi wa Alpha Eleven, Mtwara.

This is the official page for Enlightened Christian Gathering (ECG) Church Mtwara Branch under Prophet Shepherd Bushiri where you will be updated with all the current information of the church, welcome so that we can worship together.

Jumapili yetu ya furaha,  twamtukuza Mungu wa Mojar 1,sherehe yetu ya Jesus Nation week ilikuwa na Baraka sana ,
07/06/2026

Jumapili yetu ya furaha, twamtukuza Mungu wa Mojar 1,sherehe yetu ya Jesus Nation week ilikuwa na Baraka sana ,

Karibuni katika Ibada ya Jumapili tarehe 7/6/2026,karibuni tupokee Baraka ķwa pamoja ,
06/06/2026

Karibuni katika Ibada ya Jumapili tarehe 7/6/2026,karibuni tupokee Baraka ķwa pamoja ,

Hakika ni furaha kuwa ndani ya YesuKwa pamoja tunashekea aJESUS NATION WEEK Mungu katupenda , ametuchagua , ni upendeleo...
05/06/2026

Hakika ni furaha kuwa ndani ya Yesu
Kwa pamoja tunashekea aJESUS NATION WEEK

Mungu katupenda , ametuchagua , ni upendeleo wa namna gani???

Wokovu tumepewa bure
Neema tumepewa bure
Utajiri na heshima tumepewa bure
Usikose kesho jumamosi tutakuwa makonde beach tukisherekea kwa kucheza michezo mbalimbali karibu sana

ECG TAIFA LA YESU MTWARA TUMEBALIKIWA

Yeremia 29:7
Kautakieni amani mji ule, ambao nimewafanya mchukuliwe mateka, mkauombee kwa Bwana; kwa maana katika amani yake mji huo ninyi mtapata amani.
And seek the peace of the city whither I have caused you to be carried away captives, and pray unto the LORD for it: for in the peace thereof shall ye have peace.

Upendo mpyaNguvu mpyaBaraka mpyaNguvu mpyaWeak hii kuanzia leo sio ya kukuosa kabisa penda mafundishi ,neema izidi kumim...
15/05/2026

Upendo mpya
Nguvu mpya
Baraka mpya
Nguvu mpya

Weak hii kuanzia leo sio ya kukuosa kabisa penda mafundishi ,neema izidi kumiminika

Ardhi ya Mtwara imebarikiwa
Prophet Dr prophet Mojar 1
Prophetess Dr Mary Bushiri
Apostle deonis Mtalemwa Bushiri
Pastor Ivon mtalemwa bushiri
Resident Pastor Deus John bushiri
Pastor Lucy Deus John bushiri
((ECG TAIFA LA YESU MTWARA TUMEBARIKIWA))

10/05/2026

It was powerfuly fire play at morning services ,thank to be the one on this player it was amaizing
And wellcome to the other service we love u

Neema ya i juu yako wewe  usomae ujumbe  Ni weak nyingine tena  sena ya semina Yetu ambayobni siku kwanza Ilikuwa baraka...
08/05/2026

Neema ya i juu yako wewe usomae ujumbe
Ni weak nyingine tena sena ya semina Yetu ambayobni siku kwanza
Ilikuwa baraka sana na mkono wa Bwana umetutendea makuu.

Karibu semina kesho jumamosi na Mungu akubariki

Ilikuwa Baraka sana ,na leo Jumapili tumepokea baraka kamiliHakika ardhi ya Mtwara imebalikiwa Taifa la Mtwara neema ime...
03/05/2026

Ilikuwa Baraka sana ,na leo Jumapili tumepokea baraka kamili

Hakika ardhi ya Mtwara imebalikiwa
Taifa la Mtwara neema imemiminika

Karibu tena
(Ijumaa Tutakuwa na maombi ya neems))

Siku ya kwanza 1, ya semina ilikuwa ya baraka sanaIsaya 52:13 Tazama ,mtumishi wangu atatenda kwa busara ,atatukuzwa ,na...
01/05/2026

Siku ya kwanza 1, ya semina ilikuwa ya baraka sana
Isaya 52:13
Tazama ,mtumishi wangu atatenda kwa busara ,atatukuzwa ,na kuinuliwa juu, naye atakuwa juu sana
Ni semina ya kuinuliwa, ili baraka ifanyike kwako lazima ujenge madhabau , na kuweza kutoa sadaka , toa zaka .
Na ili uweze kuinuliwa kuna baadhi ya tabia zife ili Mungu akuinue na kukuheshisha

Viwango vya kuinuliwa
Unainuliwa na kuwa na busala
Unainuliwa na kuheshimika
Ilikuwa baraka sana tena sana

Karibu kesho na Mungu akubaliki hakika wewe ni mbalikiwa

Prophet shepherd Bushir
Prophetess Dr mary Bushiri
Apostle deonis Mtalemwa Bushiri
Resident Pastor deus John

ECG TAIFA LA YESU MTWARA
TUMEBARIKIWA

Wewe ni wa kipekee ,una dhamani kubwa Yesu amekusudia kukuinua weak hii .Semina hii sio ya kukosa kabisa ,kuinuliwa ni h...
28/04/2026

Wewe ni wa kipekee ,una dhamani kubwa Yesu amekusudia kukuinua weak hii .Semina hii sio ya kukosa kabisa ,kuinuliwa ni haki yako iwe kwenye uchumi,Kwenye kazi ,
Zaburi 3:3
Na Wewe, Bwana, U ngao yangu pande zote, Utukufu wangu na mwinua kichwa changu.
But thou, O LORD, art a shield for me; my glory, and the lifter up of mine head.

PROPHET DR SHEPHERD BUSHIRI
PROPHETESS MARY BUSHIRI
APOSTLE DEONIS MTALEMWA BUSHIRI
RESIDENT PASTOR DEUS JOHN

06/03/2026

Address

Kanisa Letu Lipo Mtaa Wa Ligula Coco Beach Katika Ukumbi Wa Alpha Eleven
Mtwara
00255

Telephone

+255622234447

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ECG Church Mtwara Branch posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share