15/01/2026
https://whatsapp.com/channel/0029Vb7LsPqEawdndWjKJS3D
🌙 AN-NUUR ISLAMIC CENTRE
🕌 MASWALI NA MAJIBU YA DINI (Q & A)
Assalaamualaykum warahmatullaahi wabarakaatuh.
Leo ni siku yetu maalum ya Maswali na Majibu ya Dini, siku ya kujifunza, kufahamu, na kuondoa mashaka katika masuala ya Dini ya Kiislamu.
Je, una swali lolote linalokutatiza kuhusu:
✨ Imani (Aqeedah)
✨ Fiqh (Ibada na Muamala)
✨ Tafsiri ya Qur’an
✨ Hadith za Mtume ﷺ
✨ Akhlaaq na Maadili ya Kiislamu
✨ Au suala lolote linalohusiana na Dini?
📩 Karibu utume swali lako kupitia WhatsApp:
🟢 0748 397 484
👉 https://wa.me/255748397484
🟢 0717 620 232
👉 https://wa.me/255717620232
📖 In shaa Allah, maswali yote yatajibiwa kwa dalili sahihi kutoka katika Qur’an Tukufu na Sunnah sahihi ya Mtume Muhammad ﷺ.
🕊️ Karibuni tujifunze kwa pamoja, tuongeze nuru ya elimu, na tuimarishe Imani zetu katika maisha ya kila siku.
🔗 Jiunge na WhatsApp Channel yetu:
https://whatsapp.com/channel/0029Vb7LsPqEawdndWjKJS3D
Channel • 568 followers • 📌 RATIBA YA KILA SIKU – AN-NUUR ISLAMIC CENTRE
🟢 *JUMATATU*
👉 Mawaidha ya Imani
🟢 *JUMANNE*
👉 Tafsiri ya Qur’an
🟢 *JUMATANO*
👉 Hadithi za Mtume ﷺ na Mafunzo yake
🟢 *ALHAMISI*
👉 Maswali na Majibu ya Kiislamu
🟢 *IJUMAA*
👉 Chemshabongo/ Quiz
🟢 *JUMAMOSI*
👉 Maisha na Maarifa ikijumuisha:
▪ Elimu ya maisha
▪ Biashara Halali
▪ Nidhamu binafsi
▪ Teknolojia yenye manufaa
▪ Ujasiriamali
▪ Ushauri kwa vijana n.k
🟢 *JUMAPILI*
👉 Masimulizi ya Visa vya Wema Waliotangulia
*🎯 LENGO LA CHANNEL*
Kusambaza elimu sahihi ya Qur’an na Sunnah, na kutoa Da‘wah kwa uaminifu na ufasaha ili kuijenga jamii bora yenye elimu na maadili mema.
📲 *Mawasiliano* :
Wasilia nasi kupitia WhatsApp / Simu: +255717620232
👉 https://wa.me/255717620232
🔔 *Fuata WhatsApp Channel Yetu:*
https://whatsapp.com/channel/0029Vb7LsPqEawdndWjKJS3D