Glorylife Church of all Nations

Glorylife Church of all Nations This is the an official Facebook channel of GloryLife Church Of All Nations under a senior Dr/Apostle and Prophet PETER V. KWEKA.

Our services are streamed live on YouTube on Sundays live service at 8am. Apostolic/Prophetic Church [APC]

18/03/2026

Baba ashuhudia jinsi Mungu alivyomponya Figo na kumsaidia mtoto wake aliyekuwa anateswa na ugonjwa tangu akiwa na miezi nane kupona na kuanza shule baada ya kufika Madhabahu ya Glorylife

Yohana 10:7-10[7]Basi Yesu aliwaambia tena, Amin, amin, nawaambieni, Mimi ndimi mlango wa kondoo. [8]Wote walionitanguli...
16/03/2026

Yohana 10:7-10
[7]Basi Yesu aliwaambia tena, Amin, amin, nawaambieni, Mimi ndimi mlango wa kondoo.

[8]Wote walionitangulia ni wevi na wanyang’anyi; lakini kondoo hawakuwasikia.

[9]Mimi ndimi mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka; ataingia na kutoka, naye atapata malisho.
[10]Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.

**Mtu wa mungu lazima ujue mlango wako ni nani ???

** Maana ata magonjwa yana mlango wake,shida ina mlango wake pia laana ina mlango wake ili uweze kushinda ni lazima Mlango wako uwe Yesu ili upate malisho ya baraka, mafanikio, amani,utajiri na uzima wa milele

*mwizi/mwivi anapokuja kwa mtu haji kuiba mlango kazi yake ni kuharibu mlango kisha kuiba malisho

16/03/2026

Aziza apokea uponyaji wa papo hapo baada ya kuombewa na mtumishi wa Mungu Peter Kweka kwenye ibada ya ukombozi na uponyaji ijuma...ibada hii ya ukombozi na uponyaji ni kila ijumaa saa 4 asubuhi walete wagonjwa na wenye shida mbali mbali Yesu atawaponya

14/03/2026

Kwa Mungu yote yanawezekana ninakukaribisha jumapili hii kwenye ibada kubwa ya Kuingizwa ndani ya Kristo

10/03/2026

IMANI YENYE NGUVU NDIYO INAYOAMUA MATOKEO KWENYE MAISHA YA MTU

09/03/2026

Hii ndio maana halisi ya ibada ya ukombozi na uponyaji ukifika na kujiungamanisha ni lazima ufunguliwe.
Karibu ijumaa hii 13.03.2026 saa nne kamili asubuhi Glorylife church sango ebeneza

09/03/2026

SOMO:NGUVU YA IMANI
WAEBRANIA 11:1-
APOSTLE PETER KWEKA
** IMANI YENYE NGUVU NDIYO INAYOAMUA MATOKEO

02/03/2026

MWEZI HUU WA TATU NI MWEZI WA KUTEMBEA NA HABARI NJEMA
Luka 4:18
[18]Roho wa Bwana yu juu yangu,
Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema

02/03/2026

Baada ya fundisho la imani kila habari mbaya zilizokuwa zinawatesa zikawachilia papo hapo

02/03/2026

NGUVU YA IMANI
WAEBRANIA 11:1--
APOSTLE PETER KWEKA
GLORYLIFE CHURCH OF ALL NATIONS

*Imani ni kuwa na uhakika wa habari njema ..nje ya habari njema sio imani

*ukisoma Warumi 10:17 imeandikwa ''imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno la Kristo'' kwahyo nje ya neno la Kristo hakuna imani
*Imani ni kuwa na uhakika wa jambo ambalo halijatokea bado kwamba litatokea that is faith

# # Ili kukuza imani mtu anatakiwa sana kulijua Neno la Kristo na kulielewa

25/02/2026

TUKUTANE NDANI YA GLORYLIFE CHURCH SANGO IJUMAA HII 27/02/2026 KATIKA IBADA KUBWA SANA YA UKOMBOZI MIUJIZA NA UPONYAJI SAA 4 KAMILI ASUBUHI. Walete wagonjwa na wenye shida mbali mbali wataombewa na kuwekwa huru kwa Jina la Yesu Kristo

Yohana 1:14[14]Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu k**a wa Mwana pekee atokaye...
25/02/2026

Yohana 1:14
[14]Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu k**a wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

*1 Utukufu wa Mungu unapokuja kwa mtu kazi yake kubwa ni kumtoa kwenye giza(yaani magonjwa,,laana ,,mateso,, umaskini,, na dhambi)na kumweka kwenye Nuru yaani (kibali,, wokovu,, afya ,,amani na ushindi)
*2 Utukufu wa Mungu unapokuja kwenye maisha yako kazi yake nyingine ni kumpa mtu kibali..k**a ulikuwa huna kibali kazini au kwenye biashara utukufu wa Mungu ukija tu lazima uachilie fursa ya kibali uanze kukubalika
*3 Utukufu wa Mungu unapokuja kwenye maisha yako kazi yake nyingine ni kukukutanisha na watu sahihi watakaokuinua .Huwezi kuinuka bila kuwa na watu sahihi huwezi kufanikiwa bila kuwa na watu sahihi waliobeba kusudi la Mungu
** warning ⚠️ -Epuka sana kutumia muda wako kuwasengenya watumishi wa Mungu na kufurahia matatizo yao maana k**a kuna kitu kinaondoa utukufu wa Mungu kwa haraka kwenye maisha yako ni hicho

By Apostle Peter Kweka
Glorylife church of all Nations

Address

Kiboriloni
Moshi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Glorylife Church of all Nations posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Glorylife Church Of All Nations(Tanzania)

This is an official page of Glory Life Church Of All Nations (A SPIRITUAL CHURCH) under a senior Pastor PETER KWEKA, We teach people the word of GOD and Bring them to the GOD’s Kingdom in the Name of JESUS CHRIST. Our services are streamed live on YouTube on Sundays live service at 8am,Don’t miss any of our events and services,please Follow Us ,Like and Share to your friends-May GOD Bless You.

Our Youtube Channel : https://www.youtube.com/channel/UC4PnxOcAcP2bnusZEEb8RBw

Instagram: Glorylife Church