Passion of Paul Society Ministry

Passion of Paul Society Ministry It is a MINISTRY OF MISSION. it main purpose is to PREACH AND SPREAD THE GOSPEL to All.

  kuelekea Mission, Ungana nasi.“Niangalieni mimi, mkaokolewe, enyi ncha zote za dunia; maana mimi ni Mungu; hapana mwin...
01/09/2026

kuelekea Mission, Ungana nasi.

“Niangalieni mimi, mkaokolewe, enyi ncha zote za dunia; maana mimi ni Mungu; hapana mwingine.”
‭‭Isa‬ya ‭45‬:‭22‬ ‭SUV‬‬

Wekeza katika Ufalme wa Mungu. Siku 19 zimebakia, ungana nasi!
29/08/2026

Wekeza katika Ufalme wa Mungu. Siku 19 zimebakia, ungana nasi!

UNGANA NASI KUPELEKA HABARI NJEMA ZA UFALME WA MUNGU🙏“Na katika kuenenda kwenu, hubirini, mkisema, Ufalme wa mbinguni um...
28/08/2026

UNGANA NASI KUPELEKA HABARI NJEMA ZA UFALME WA MUNGU🙏

“Na katika kuenenda kwenu, hubirini, mkisema, Ufalme wa mbinguni umekaribia. Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.”
‭‭Mathayo 10‬:‭7‬-‭8‬ ‭SUV‬‬

“Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.”‭‭Mk‬ ‭16‬:‭15‬ ‭SUVIringa tutakuwepo Mtwivi...
28/08/2026

“Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.”
‭‭Mk‬ ‭16‬:‭15‬ ‭SUV

Iringa tutakuwepo Mtwivila, 18 Sept- 27 Sept 2026.

TUNATOKA KWENDA IRINGA“Nao wale wakatoka, wakahubiri kotekote, Bwana akitenda kazi pamoja nao, na kulithibitisha lile ne...
27/08/2026

TUNATOKA KWENDA IRINGA
“Nao wale wakatoka, wakahubiri kotekote, Bwana akitenda kazi pamoja nao, na kulithibitisha lile neno kwa ishara zilizofuatana nalo.]”
‭‭Marko 16‬:‭20‬ ‭SUV‬‬

24/08/2026

Iringa twaja by Madam Everine .

Yesu Kristo Mwokozi wa Ulimwengu.“Na sisi tumeona na kushuhudia ya kuwa Baba amemtuma Mwana kuwa Mwokozi wa ulimwengu.”‭...
24/08/2026

Yesu Kristo Mwokozi wa Ulimwengu.
“Na sisi tumeona na kushuhudia ya kuwa Baba amemtuma Mwana kuwa Mwokozi wa ulimwengu.”
‭‭1 Yoh‬ana 4‬:‭14‬ ‭SUV‬‬

“Akawaita wale Thenashara, akawapa uwezo na mamlaka juu ya pepo wote na kuponya maradhi. Akawatuma wautangaze ufalme wa ...
22/08/2026

“Akawaita wale Thenashara, akawapa uwezo na mamlaka juu ya pepo wote na kuponya maradhi.
Akawatuma wautangaze ufalme wa Mungu, na kupoza wagonjwa.”
‭‭Luka 9‬:‭1‬-‭2‬ ‭SUV‬‬

Ni wakati wa Iringa Mtwivila!!
21/08/2026

Ni wakati wa Iringa Mtwivila!!

“Wakaenda, wakazunguka katika vijiji, wakihubiri injili, na kupoza watu kila mahali.”‭‭Luka 9‬:‭6‬ ‭
20/08/2026

“Wakaenda, wakazunguka katika vijiji, wakihubiri injili, na kupoza watu kila mahali.”
‭‭Luka 9‬:‭6‬ ‭

Address

Moshi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Passion of Paul Society Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Passion of Paul Society Ministry:

Shortcuts

Share