TAG Amani Christian Centre

TAG Amani Christian Centre TAG Amani Christian Centre, is a church where Holy Spirit moves mightily to minister salvation and healing miracles.

Come and experience active faith and life-changing teachings and sermons. You shall know the truth and the truth will set you free.

Usipange kukosa
26/02/2026

Usipange kukosa

25/02/2026

Askofu Benjamin William Bukuku wa huduma ya 'KWELI ITAKUWEKA HURU' anakualika kwenye mkutano mkubwa wa ijili, utakaoanza tar 1/3/2026 katika viwanja vya Kanisa la T.A.G Amani Christian Center, Soweto Moshi, muda ni saa tisa alasiri. Ukisikia au kuona tangazo hili mtaarifu na mwenzako.

Kwa taarifa zaidi piga simu namba 0621863838

Wote mnakaribishwa

08/09/2024

Tazama clip hii Hadi mwisho. Usipange kukosa mkutano huu muhimu sana na share na watu wengine.
Wote MNAKARIBISHWA🙏

Askofu Benjamin William Bukuku wa huduma ya "Kweli itakuweka huru" anapenda kuwakaribisha wote kwenye mkutano mkubwa wa ...
07/09/2024

Askofu Benjamin William Bukuku wa huduma ya "Kweli itakuweka huru" anapenda kuwakaribisha wote kwenye mkutano mkubwa wa injili, utakaofanyika Katika viwana vya Kanisa la AMANI Christian Centre, Soweto-Moshi, kuanzia tar 11-15/9/2024 saa tisa alasiri.
Upatapo ujumbe huu shirikisha ndugu, jamaa na marafiki zako wasikose tukio hili muhimu.
Mungu akubariki sana 🙏

08/07/2024

You are invited to join us in our English language Service 🙏

Karibu uungane nasi kwenye Ibada ya Jumapili kwa Lugha ya Kiswahili
06/07/2024

Karibu uungane nasi kwenye Ibada ya Jumapili kwa Lugha ya Kiswahili

Shalom! Shalom! Watu wa Mungu. Tunapenda kuwakaribisha kwenye Ibada ya nguvu siku ya Jumapili. Askofu Dr. Benjamin Bukuk...
25/05/2024

Shalom! Shalom! Watu wa Mungu. Tunapenda kuwakaribisha kwenye Ibada ya nguvu siku ya Jumapili. Askofu Dr. Benjamin Bukuku wa huduma ya kweli itakuweka huru atahubiri, bila kusahau Amani praise team, Amani na Glory Choir pia zitahudumu.
Njoo tujifunze neno la Mungu, walete wenye shida, Mungu atakutana na shida zao na hawatabaki k**a walivyokuwa.
Kanisa lipo Soweto, barabara kuu inayotoka memorial kuelekea bonite.
Mungu awabariki sana🙏

Ratiba ya vipindi vya wiki mzima katika Kanisa la TAG Amani Christian Centre. Karibu ujumuike nasi kujifunza neno la Mun...
20/05/2024

Ratiba ya vipindi vya wiki mzima katika Kanisa la TAG Amani Christian Centre. Karibu ujumuike nasi kujifunza neno la Mungu na Maombezi.
Kila siku Jumatatu Hadi ijumaa kuanzia saa 11:00 alfajiri ni maombi. Ratiba ya vipindi vingine ipo kwenye picha.

USIPANGE KUKOSA 🙏Askofu na Mchungaji Kiongozi Dr. Benjamin William Bukuku wa Kanisa la TAG Amani Christian Centre, Sowet...
18/05/2024

USIPANGE KUKOSA 🙏

Askofu na Mchungaji Kiongozi Dr. Benjamin William Bukuku wa Kanisa la TAG Amani Christian Centre, Soweto Moshi anakualika kwenye Ibada kesho Jumapili tarehe 5/5/2024. Ibada ya kwanza ya Kingereza inaanza saa 12:00 asubuhi ikifuatiwa na kipindi Cha wanafunzi na maandiko saa 2:00 na Kisha Ibada ya pili ya kiswahili inaanza saa 3:00 asubuhi.
Karibu tumsifu na kumuabudu Mungu kwa pamoja. Njoo upate huduma za kiroho km vile kujifunza neno la Mungu na maombezi.
Kanisa lipo Soweto, Moshi mjini kwenye barabara kuu inayotoka soko memorial kueleka bonite. Ukiwa stendi kuu mjini panda bajaji za Soweto waambie wakushushe Kanisa la Amani.

Address

Soweto
Moshi
POBOX8854

Telephone

+255755341833

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG Amani Christian Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share